PostGE2025 Kama kuua wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 ni kazi ya kutukuka, Tume mlizounda ni za nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni siku moja tu baada ya SSH kuwasifu Polisi ''kwa kazi nzuri walioifanya haraka'' . Katibu mkuu anasema ni kazi ya kutuka. Kweli! Ina maana wamepoteza empathy kiasi hicho. Hivi kweli hawalioni hili kama tatizo

Asha Migiro kaulizwa kwanini hakuna aliyewajibika, jibu lake tusubiri Tume ya Jinai. Wamehamisha goli kutoka 'Tusubiri Tume ya Chande'' lakini muhimu ni kwamba hivi Asha hajui kwamba kuwajibika hakuna uhusiano na jinai

Kuwajibika ni ishara ya kutambua tatizo na kulijutia. Viongozi wote waliowajibika hawakuwahi hata kutuhumiwa achilia mbali kuwajibika.

Sijui Tume ni za nini wakati wana majibu ya tatizo!
Usishangae hiyo tume jinai ikaleta ripoti yake Mwaka 2031 huko
 
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!

Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.

Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.

Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?

View attachment 3596962

Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.

Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?

Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?

Akili za wapi hizo mnazozitumia?

Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?

Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!

Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.

Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!

Pia soma:PostGE2025 - Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa Taifa letu
Hii Kweli Genocide, kila mahali kuna lundo maiti
 
Huyo mbwa kama wale mbwa wengine na mbwa mkubwa wao ni majanga katika nchi yetu. Huyo ASHA ROSE-MIGIRO alifukuzwa kwa aibu alipokuwa UN pamoja na kubebwa bebwa na Ban KiMoon (Baada ya Kikwete kumsaidia kumtafutia post hapa UN) Huyu mama alikuwa disaster, hajui lolote amezoea kufanya kazi majalalani kama Kabudi Palamagamba. It was so strange anaongea upumbavu kama huo wakati anajua anaumiza watu waliouawa wasio na makosa. Tangu lini kazi ya police kuteka wananchi wasio na makosa ni kazi ya kutukuka? Huyo Pimbi na mshenzi hatufai kwa lolote zaidi ya kumtetea huyo Samia Kitambi. It is shame kwa mtu mzima kuongea ujinga usiofaa.
 
YANI WAMETEKA WATU SANA WAKAUWA WATU SANA WAKAIBA KURA SANA SEVERAL ELECTIONS WATU WALIPOWAPINGA WAKAWATEMBEZEA RISASI AISEE TUNGEKUWA TAIFA LA WATU WANAOJIELEWA OFISI ZAO ZA CCM ZINGEPIGWA MOTO NCHI NZIMA.
 
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!

Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.

Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.

Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?

View attachment 3596962

Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.

Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?

Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?

Akili za wapi hizo mnazozitumia?

Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?

Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!

Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.

Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!

Pia soma:PostGE2025 - Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa Taifa letu
Wamekuwa vichaa matendo na maneno yao yanadhihirisha hilo
 
IMAGINE MDUDE NYAGALI CHADEMA NA HUMPHREY POLEPOLE NDIO IMETOKA HIYO JE HII HAILETI HASIRA? KUUWA WATU HIVI?IMAGINE KINA BEN RABIU SAANANE NA MAMIA WALIOPOTEZWA HALAFU TUENDELEE KUWAPENDA? HAKIKA MTALIPA TU KABLA YA 2030.
 
Huyu na wenzake wengi wamekuwa chiriku kuimba nyimbo anazoimba
YANI WAMETEKA WATU SANA WAKAUWA WATU SANA WAKAIBA KURA SANA SEVERAL ELECTIONS WATU WALIPOWAPINGA WAKAWATEMBEZEA RISASI AISEE TUNGEKUWA TAIFA LA WATU WANAOJIELEWA OFISI ZAO ZA CCM ZINGEPIGWA MOTO NCHI NZIMA.
Na walivyo MABEDUI wameUA hadi MAITI ili zisipate kuzikwa na ndugu zao. Hawa jamaa ni MAKATILI kiasi gani??? Hata MAKABURU wa S.A hawakufikia ukatili MKUBWA NAMNA hii😢😢
 
HALAFU UKIWAULIZA MDUDE YUKO WAPI NA POLEPOLE ACHILIOA MBALI MAELFU WALIOTEKWA NA KUUMIZWA WANAKUJIBU KIRAHISI POLISI WANACHUNGUZA.
INASIKITISHA sana. Tiba pekee ni kuwaweka kando ya mfumo wa uongozi ILI uchunguzi HURU na wa HAKI ufanyike, UOVU wote waliofanya uwekwe hadharani. WATU tuliopteza wapendwa WETU tulie, TAIFA lilie halafu sasa TUJIPANGE njia sahihi ya kuenenda kama TAIFA.
 
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!

Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.

Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.

Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?

View attachment 3596962

Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.

Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?

Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?

Akili za wapi hizo mnazozitumia?

Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?

Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!

Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.

Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!

Pia soma:PostGE2025 - Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa Taifa letu
Damu za watu wasiokua na hatia zinanena kwa sauti KUBWA ipo siku watausema tu UKWELI Mungu hawezi kumficha mnafiki
 
Waliua watu wengi bila sababu yoyote ya maana, na kwa kuwa walishaua watu wengi hivyo kwa pamoja, ndio maana sasa hawaogopi tena kuteka na kuua mtu mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom