PostGE2025 Kama kuua wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 ni kazi ya kutukuka, Tume mlizounda ni za nini?

PostGE2025 Kama kuua wakati na baada ya Oktoba 29, 2025 ni kazi ya kutukuka, Tume mlizounda ni za nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mali za umma unafananisha na uhai wa watu una akili kweli Mabilioni mangapi yanapigwa kwenye riport ya CAG ? Hao sio wahalifu kama wahalifu wengine?
Mali huuzwa ili kumpeleka Mhanga kwenye matibabu. Hayo yote ni kupambania uhai wake. Nyumba ikiwa inashika moto, waokozi siku zote huuliza, kuna watu ndani? Kama wapo basi huwaokoa wao kwanza na si samani zilizopo ndani. Why? UHAI KWANZA.

Cha ajabu hawa wapuuzi waliolewa madaraka, wao wanawaua raia kuokoa mali. Upuuzi mtupu. Tena walaaniwe na vizazi vyao. ( nimemalizia kwa ile style ya umaliziaji ya Mh Sugu)
 
Mbona muongo sana aisee....

Yaani unataka kuwahusisha Chadema na maafa ya 29/10 yaliyosababishwa na wahuni?.....acha kujitoa akili
Wewe ndiyo huna akili kama huoni uhusika wa CHADEMA kwenye 29/10
 
Ila we jamaa umeuliza swali la msingi sana na la Akili

" Kama PolisI walifanya kazi ya kutukuka ni kwanini wakaunda tume ya Uchunguzi? Inachunguza nini? "

Watujibu tu hili
Ila we jamaa umeuliza swali la msingi sana na la Akili

" Kama PolisI walifanya kazi ya kutukuka ni kwanini wakaunda tume ya Uchunguzi? Inachunguza nini? "

Watujibu tu hili
Hahahaaa! Ni common sense tu.

Wanachotaka kukichunguza ni nini hasa?

Wao waue. Halafu wao hao hao ndo waunde tume za kuchunguza matukio ya hayo mauaji!

Make it make sense.
 
Unasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo
OCT29 Ilionyesha udhaifu wa polccm kwamba wanachoweza ni kuua watu wengi wasiokuwa na bunduki.
 
Hahahaaa! Ni common sense tu.

Wanachotaka kukichunguza ni nini hasa?

Wao waue. Halafu wao hao hao ndo waunde tume za kuchunguza matukio ya hayo mauaji!

Make it make sense.
Haimake sense, halafu tume ya kwanza ikatumia sijui Bil. ngapi na hii ni ya pili. Gharama za bure tu
 
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!

Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.

Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.

Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?

View attachment 3596962

Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.

Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?

Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?

Akili za wapi hizo mnazozitumia?

Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?

Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!

Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.

Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!
Tume ni Kwa ajili ya watu wa nje kwamba kuna mambo yanaendelea, Kauli za kufanya kazi iliyotumika ni Kwa ajili ya siasa za bongo au siasa za ndani
 
Back
Top Bottom