Dr PL
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 688
- 1,039
Hata mimi natoa mawazo binafasi. Ndiyo maana nimechukua hoja ya "what if" Serikali ingewaendekeza mnaowaita waandamanaji!! Ni nini kingetokea
Sawa mkuu,
Mungu aibariki nchi yetu.
Hata mimi natoa mawazo binafasi. Ndiyo maana nimechukua hoja ya "what if" Serikali ingewaendekeza mnaowaita waandamanaji!! Ni nini kingetokea
Amewahi kuwa na akili kwenye lipi??Sikujua kama Dr. Asha Migiro angejitoa ufahamu hadi kufikia level ya akina Dotto Magari kweli CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.
Naibu Katibu Mkuu UN, na wewe huko Mpitimbi haujawahi kuwa hata Kiongozi wa Nyumba 10Amewahi kuwa na akili kwenye lipi??
Alichukuliwa na kupachikwa tu hapo, kama ambavyo anapachikwa kwenye vicheo anavyopata na kubebwa bebwa na BAN KIMOON.Naibu Katibu Mkuu UN, na wewe huko Mpitimbi haujawahi kuwa hata Kiongozi wa Nyumba 10
Mali za umma unafananisha na uhai wa watu una akili kweli Mabilioni mangapi yanapigwa kwenye riport ya CAG ? Hao sio wahalifu kama wahalifu wengine?Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
LLB First Class, Hons, UDSM miaka ya mwanzo mwa 1980s. Ulie tu huyu siyo saizi yakoAlichukuliwa na kupachikwa tu hapo, kama ambavyo anapachikwa kwenye vicheo anavyopata na kubebwa bebwa na BAN KIMOON.
Baadaye akaonekana zuzu akatimuliwa kwa aibu.
Alishindana na nani kupata hiyo nafasi?
Sijasema ni saizi yangu.LLB First Class, Hons, UDSM miaka ya mwanzo mwa 1980s. Ulie tu huyu siyo saizi yako
Kama unaweza kuona ni sawa watu wachache kuchoma miundombinu ya umma ambayo tumeijenga kwa kodi zetu, then wewe hauko vizuri upstairs. Hao waliokufa kuna wengine wengi tu watazaliwa.Mali za umma unafananisha na uhai wa watu una akili kweli Mabilioni mangapi yanapigwa kwenye riport ya CAG ? Hao sio wahalifu kama wahalifu wengine?
Unamwonea wivu hata kwa hijab aliyojisetiri??Sijasema ni saizi yangu.
Mimi nakula.m kwa kupambana, siyo kwa UCHAWA na kuvaa Hijab ili kufurahisha wanokulisha.
Tunasubiri kuona hao WANAJESHI, UVCCM na POLISI watakavyowasaidia MABEBERU yakianza KUWANYOOSHA.Kama unaweza kuona ni sawa watu wachache kuchoma miundombinu ya umma ambayo tumeijenga kwa kodi zetu, then wewe hauko vizuri upstairs. Hao waliokufa kuna wengine wengi tu watazaliwa.
Kuwa na raia ambaye anaamka na kuchoma Mahakama, TRA bora kutokuwa naye
Wasalimie hapo msikiti wa BAKWATAUnamwonea wivu hata kwa hijab aliyojisetiri??
Mabeberu ndiyo nani?Tunasubiri kuona hao WANAJESHI, UVCCM na POLISI watakavyowasaidia MABEBERU yakianza KUWANYOOSHA.
Kwenu damu za watu, ni kama za kunguni tu.
I am a staunch RC believer, make no mistakeWasalimie hapo msikiti wa BAKWATA
Kwani Tundu na Heche lini waliwahi kuingiza watu barabarani ili kupindua Serikali?..Tundu na Heche walionywa na akina Jaji Warioba na Raila Odinga kuwa hamuwezi kusimamisha uchaguzi kamwe, endeleeni kuomba reforms zinazowezekana lwa kipindi hiki.
Raila aliendelea kusema pamoja na harakati zake hajawahi kuingiza watu barabarani kutaka kupindua Serikali.
Shida viongozi wenu nao ni pasua kichwa
29/10 watu waliingia kwa kauli zao. Mbona clip ipo anasema "Tutakinukisha tutahakikisha uchaguzi haufanyiki"Kwani Tundu na Heche lini waliwahi kuingiza watu barabarani ili kupindua Serikali?..
Mbona muongo sana aisee....29/10 watu waliingia kwa kauli zao. Mbkna clip ipo anasema "Tutakinukisha tutahakikisha uchaguzi haufanyiki"
Ila we jamaa umeuliza swali la msingi sana na la AkiliNadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!
Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.
Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.
Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?
View attachment 3596962
Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.
Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?
Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?
Akili za wapi hizo mnazozitumia?
Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?
Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!
Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.
Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!
🖕🖕🖕🖕🖕29/10 watu waliingia kwa kauli zao. Mbkna clip ipo anasema "Tutakinukisha tutahakikisha uchaguzi haufanyiki"
hapo ndo tunakosea nadhani.Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?