Kama kweli, basi Magufuli kwa hili atakuwa ameibua makubwa, Kenya hebu tuliangalie

Rwanda hawezi kuitisha Uganda, never ever
 
Hh Huku Tanzania watu wameambiwa wana korona wakati hawana hata dalili! Miezi imepita, hata dalili hakuna!! Kuna agenda ya siri katika hili! Dunia inataka kuaminishwa kuwa tatizo ni kubwa ili ikubali chanjo ambayo itakuwa kwa mtindo wa scan fulani na watatumbukiza hapo 666!!
 
Mmmh nyie watu wa consipiracy theory na mambo ya 666 mnaweza kutuchanganya zaidi.

Lakini wanasema hapa duniani lisemwalo lipo kama halipo laja. Naheshimu mawazo yako mkuu.
 
And you implemented none of the recommendations from the SADC meeting. Why join multilateral organizations if you know you will not follow any of the rules?

It is not that you are not interested in eac, it is that Kenya controls the eac economically and logistically and that hurts Tanzania, so you turn to seek solace among other beaten countries in sadc, but even in sadc you do not have a voice apart from the token you have been given. south africa controls SADC.
 
Why are you always talk nonsense?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe poyoyo... Kwa hiyo zile video za kiswahili za watu wanazikwa usiku ni za wapi?
 
Trump ali-suggest kuchoma watu disinfectant, baadhi ya wamerekani walipiga simu kuuliza kama wanaweza wakanywa!
Ukiwa kiongozi lazima utambue kuna watu wenye uelewa mdogo, usipayuke payuke hovyo!
kunawatu hawatakula tena papai!
 
Katika utafiti kuna "replication" kurudia utafiti kwa njia ile ile ukapata majibu yale yale. Hicho ndicho unashauri. Alichofanya Rais ni kuthibitisha uwezo na uhalali (Reliability and Validity) wa vipimo hivyo. Alichogundua ndicho hicho na kuagiza Taasisi za kitaaluma kufanya tafiti zaidi.
 
Achana na mambo ya lock down..
Unawaamini WHO
People who took you as slaves ..do you think their children change that much
Boss usipende kuamini kila kitu
Ushaskia Neo colonialism
Unahisi wazungu wanatutakia mema sana...?
Hata baadhi ya wa africa hatutakiani mema ndo iwe whites ??
By saying that i dont mean WHO wananiam mbaya yoyote

But all whites shouldnt be trusted ..

Wao wenyewe wana makitu yao ya ajabu ajabu

Its all a messed up wolrd anyways..kila mtu anataka monopoly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpima papai ndo anatutakia mema?
 
Tumefanya partial lockdown inayoendana na mazingira yetu. Tumefunga shule na vyuo vyote. Kenya hamna la kujisifia! Kwa sababu lockdown yenu ni ya kiwango cha chini sana na level ya maambukizi na vifo havina tofauti na Tanzania. Kenya Hanna ubavu wa kufanya total lockdown kama Rwanda.

Wazungu wenyewe yamewashinda! Wameanza kuachana na lockdown wakati level ya maambukizi mapya ni kubwa na vifo ni vingi KULIKO ilivyokuwa wakati wanatangaza lockdown.

Ni China peke yake iliyomudu total lockdown hadi wanaiondoa maambukizi mapya ya ndani yalikuwa yameisha! Huko Marekani kuna majimbo yameondoa lockdown wakati maambukizi mapya kilal siku ni zaidi ya 20,000 na vifo zaidi ya 1,000!
Kama wanaamini lockdown basi wasiiondoe mpaka maabukizi ya ndani yaishe kama ilivyofanya China! Kenya kama mnataka sifa fanyeni total lockdown tuone msipokoma hata kabla ya wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…