The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?