John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 612
- 382
Wanasema wanatiki mshindi wao tayari wameshapitisha.Oktoba mwaka huu

Ngoja tuoneWanasema wanatiki mshindi wao tayari wameshapitisha.
Sawa. Kila jambo lina mwisho wakeUsicho jua sera ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION, inafahamika na kueleweka na Wabelgiji wengi kuliko Watanzania.
You have wrong slogan for the right people and vise versa.
Nakupewa posho zaoFuso, Semi Trailer, Wanyama Kazi Wamesomba Watu Popote Walipo
Je,tutachelewa?Ngoja tuone
Week Hii Wanakula VinonoNakupewa posho zao
Maroli na mabasi yamefichwa wapi?GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Nguvu yao ipo ktk kumiliki tume ya Uchaguzi na PolisiNikwambie mtoa mada CCM ni chama kikubwa hapa nchini...CCM haikopi chama chochote hapa nchini CCM haikurupuki kama unavofikiria CCM inafanya kazi kwa mipango ya mda mrefu au mfupi..Kukielewa hiki chama unahitaji kuwa genius...CCM ni chama kinachobadilika kama kinyonga kuendana na wakati..Hvo kama unadhani CCM inaokopa CHADEMA bado hujakua ludi ukanyonye maziwa ya mama...Mimi sio Mwanachama wa chama chochote lakin navifatilia vyama vyote navijua...CCM Tumeikuta na tutaiacha nukuu haya maneno.
Kinachofanywa na waandaji wa ziara za Rais ni sawa na kupiga punyeto tu, umati huo hauakisi ukweli wa hali halisi ya Samia kukubalika hasa huku Kanda ya Ziwa.GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Hapo tu ndipo siielewag CCM 🤣 🤣 kama inapendwa san na inajaza nyomi namna hiyo kwann wanaogopa tume huru?GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Ukute Buku ten zimetembea hapo! 😁 Wakati huu mgumu kupata wingi huo...!GT

Sisi hio haituhusu.utajua mwenyewe, mimi nailinda kura yangu kwa kutopiga kuraNataka nijiandikishe kupiga kura, watarudi tena, ama ndio imetoka?
TrueUkute Buku ten zimetembea hapo! 😁 Wakati huu mgumu kupata wingi huo...!
Hapo wakurugenzi ukute washawaandikia walimu na posho juu waende kupokea.... We subiri baada ya Muda utasikia maelekezo alitoka juu walimu waende
Mimi nayaita "MAONYESHO na MAIGIZO" ya Samia Suluhu Hassan.GT