Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

CCM ni chama kikubwa Africa kinaogopa uchaguzi huru na wa haki, fools
 
Mzigo huo
Safi sana.

Sasa ni hawa hawa Wakurugenzi wanaotengeneza kura za uongo hivyo hivyo wakati wa chaguzi.

Kwa hiyo inajulikana tatizo liko wapi; na kwa hivyo hivyo ni sahihi kabisa kuelekeza nguvu zinazolenga kuwadhibiti hawa wachache wasiharibu uchaguzi.
Ni rahisi zaidi kuwabana hawa kuliko kwenda kupambana uso kwa uso na wenye mitutu ya bunduki moja kwa moja.

"NO REFORM, NO ELECTION".
 
Back
Top Bottom