GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Mwenyewe nimeshangaaKwenye Madaraka utafanya kila kitu uendelee kubaki madarakani. Imagine huyu Samia aliyekuwa hataki kumtaja Yesu kwenye salamu zake leo anasalimia kwa jina la Yesu alilokuwa analiavoid. Amesahau salamu yake ya Jamuhuri wa Muungano ...!!
Mkuu 'CHIEF PRIEST', ninakubaliana na unayoyasema; lakini kuyasema tu hayo haitoshi kabisa.Kinachofanywa na waandaji wa ziara za Rais ni sawa na kupiga punyeto tu, umati huo hauakisi ukweli wa hali halisi ya Samia kukubalika hasa huku Kanda ya Ziwa.
Hao watu wanasombwa kutoka maeneo mbalimbali kwa mabasi na malori kupelekwa huko wanapewa hela elfu tano hadi kumi, wanapewa na chakula na pombe za kienyeji. Mwaka jana wakati wa kuzima mwenge watu walikuwa wanapewa sombwa hadi Kirumba stadium na kupewa elfu kumi getini na ukishaingia mlango unafungwa hamna kutoka. Haya ni maandalizi ya kuchakachua matokeo ili INEC wakitangaza kuwa ameshinda kwa 99.9% watu wasishangae.Mkuu 'CHIEF PRIEST', ninakubaliana na unayoyasema; lakini kuyasema tu hayo haitoshi kabisa.
Hii ni fursa nzuri kabisa kwa watu mliopo "saiti" kuyasoma na kuyaelewa haya jinsi yanavyotokea. Mkifanya hivyo itakuwa ni msaada mkubwa sana kwa wote wanaopambana na uigizaji huo.
Ni rahisi kabisa kujuwa hao watu wanaojitokeza hivyo, ni kipi hasa kimewasukuma kufanya hivyo. Hawa ni watu mnaoishi nao mitaani kwenu; mnazungumza nao kila siku.
Fanyeni mambo kisayansi kidogo; kwa kufanya hivyo mtakuwa mmechangia pakubwa namna ya kupambana na mazingaombwe haya.
Hii ndiyo taarifa mkuu, tena panapowezekana, hata mapicha ya hayo malori yanasogezwa.Hao watu wanasombwa kutoka maeneo mbalimbali kwa mabasi na malori kupelekwa huko wanapewa hela elfu tano hadi kumi, wanapewa na chakula na pombe za kienyeji. Mwaka jana wakati wa kuzima mwenge watu walikuwa wanapewa sombwa hadi Kirumba stadium na kupewa elfu kumi getini na ukishaingia mlango unafungwa hamna kutoka. Haya ni maandalizi ya kuchakachua matokeo ili INEC wakitangaza kuwa ameshinda kwa 99.9% watu wasishangae.
Na watu watajisahau kabisa kwa sababu ya maigizo kama hayo!Kwenye Madaraka utafanya kila kitu uendelee kubaki madarakani. Imagine huyu Samia aliyekuwa hataki kumtaja Yesu kwenye salamu zake leo anasalimia kwa jina la Yesu alilokuwa analiavoid. Amesahau salamu yake ya Jamuhuri wa Muungano ...!!
Hiyo ni sinema. Ungelijua kilichofanyika bro utashangaa. Huyo hawezi kupata watu kama hao.GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Ukubwa huo ingeonyesha kwa kupambana kwenye sanduku la kura na vyama vingine. Si kuvikandamiza na kuvidhulumu kupitia tume ya uchaguzi inayoiremoti. Si kuangamiza vijana wenye uelewa mpana. Ni ubinafsi na kujidanganya.Nikwambie mtoa mada CCM ni chama kikubwa hapa nchini...CCM haikopi chama chochote hapa nchini CCM haikurupuki kama unavofikiria CCM inafanya kazi kwa mipango ya mda mrefu au mfupi..Kukielewa hiki chama unahitaji kuwa genius...CCM ni chama kinachobadilika kama kinyonga kuendana na wakati..Hvo kama unadhani CCM inaokopa CHADEMA bado hujakua ludi ukanyonye maziwa ya mama...Mimi sio Mwanachama wa chama chochote lakin navifatilia vyama vyote navijua...CCM Tumeikuta na tutaiacha nukuu haya maneno.
ndo unavojidanganya hvo CCM imekamata hadi kwenye vijiji ambavyo huvijui...CCM imejiimarisha wewe acha kujidanganya kuna vijiji ukivitembelea hawaijui CHADEMA Wanaijua CCM na ACT Wazalendo, ukienda vijiji vingine wanaijua CCM na CHADEMA, unapata kujua CCM kila kona ipo..ukienda mijini huko huikosi CCM halafu unasema CCM hawapo vizuri kwenye sanduku la kura..Imarisheni chama chenu hadi vijijin ndani kabisa ndo mje kubwabwaja hapa..naukumbuke vyote hvo vinaenda sambamba na fedha..je mnapesa?Ukubwa huo ingeonyesha kwa kupambana kwenye sanduku la kura na vyama vingine. Si kuvikandamiza na kuvidhulumu kupitia tume ya uchaguzi inayoiremoti. Si kuangamiza vijana wenye uelewa mpana. Ni ubinafsi na kujidanganya.
Hao wanaosombwa nao hamnazo. Eti mtu anaenda uwanjani kuwashangaa Zuchu, Diamond na machawa wengineWatu wamesombwa usiku kucha
Sisi video zetu huwa wahudhuriaji tunawaona na sura zao. Ila hii ya kwao tunaona watu kama vipande vipande vya mawe tu.GT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Mzigo huoHii ndiyo taarifa mkuu, tena panapowezekana, hata mapicha ya hayo malori yanasogezwa.
Kwa hiyo hii ni wazi kwamba mafuriko haya ni maandalizi yaleyale ya kuiba uchaguzi; na ushahidi wa matukio haya ingefaa uwepo kila mahala.
CHADEMA wanazo ofisi zao huko kote; wakati huu pangekuwepo na ukusanyaji wa taarifa hizi na kuzipanga vizuri kuziwasilisha kama ushahidi.
Na wasingeishia hapo, wangefanya jitihada kuwaelimisha wananchi hawa kuhusu kunyang'anywa HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe, kwa kutumiwa tu (kununuliwa) kirahisi namna hiyo.
Tatizo liko wapi?Mzigo huo
😂😂Fuso, Semi Trailer, Wanyama Kazi Wamesomba Watu Popote Walipo
Siasa siasaniGT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?
Wale wajumbe wa serikali za mitaa ndo maeneo yao hayoKwa Hiyari Wananchi Hawaendi
Sasa Mbinu Zote Hutumika Mpaka Wajaze Watu
Kama ni halali iweje waanguke na semitrela? Watumishi wa serikali wanalazimishwa kuacha kazi na kwenda kumpokea.GT