The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Sarakasi hiziFuso, Semi Trailer, Wanyama Kazi Wamesomba Watu Popote Walipo
Kwa Hiyari Wananchi HawaendiSarakasi hizi
Wamesombwa wengine kutoka Chato kwenda kuigiza paleFuso, Semi Trailer, Wanyama Kazi Wamesomba Watu Popote Walipo
Kwani kuna uchaguzi?Hivi kuna kujiandikisha tena kupiga kura, au ndio zoezi limeshapita?
Chama Kimepoteza Haiba Machoni Pa WananchiWamesombwa wengine kutoka Chato kwenda kuigiza pale
Malori yamekesha mkuu yakisomba watu, hapo wametangaziwa wali nyama na pombeChama Kimepoteza Haiba Machoni Pa Wananchi
Yabidi Wasombe Sana Watu
Oktoba mwaka huuKwani kuna uchaguzi?
Mshindi anajulikana tangu 2021 unaenda kufanya uchaguzi gani? sahivi anapanga wabunge na madiwani pekeeOktoba mwaka huu
Nataka nijiandikishe kupiga kura, watarudi tena, ama ndio imetoka?Mshindi anajulikana tangu 2021 unaenda kufanya uchaguzi gani? sahivi anapanga wabunge na madiwani pekee
Imetoka hakuna tena mpk 2029Nataka nijiandikishe kupiga kura, watarudi tena, ama ndio imetoka?
Kwa Macho Yangu, Magu Nimeona Fuso, Semi Trailer Zipo Kazini Na Watu Wote Wamesimama Kama Ndizi Kwenye Mkungu WakeMalori yamekesha mkuu yakisomba watu, hapo wametangaziwa wali nyama na pombe
Walianza kusombwa tangu janaKwa Macho Yangu, Magu Nimeona Fuso, Semi Trailer Zipo Kazini Na Watu Wote Wamesimama Kama Ndizi Kwenye Mkungu Wake
Kwani hujasikia kwamba jana shuke zote zilifunga, waalimu pamoja na wanafunzi waliongoa msafara, ofisi za umma zote zilifungwa, wafanyakazi na familia zao waliongoza msafara , watu walinunukiwa mamia kwa mamiaGT
Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%.
Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100 hapa Tanzania.
Lakini kama ni kweli hawa watu walikuja kwa mapenzi yao binafsi bila kushurutishwa swali linabaki CCM Inapata ugumu gani Kuicha tume ya uchaguzi kuwa ni chombo kinachojitegemea bila mkono wa serikali ya CCM?.
Swali la pili serikali na CCM kama kweli wanakubalika kiasi hiki mbona bado wanatumia nguvu nyingi sana kupambana na chadema ambayo imeshasema haishiriki uchaguzi?. Haingii akilini mtu kashakimbia uwanja kakuacha ucheze.mwenyewe na watu unao wengi kiasi hiki lakini bado huna amani why?