Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

Usicho jua sera ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION, inafahamika na kueleweka na Wabelgiji wengi kuliko Watanzania.

You have wrong slogan for the right people and vise versa.
Sawa. Kila jambo lina mwisho wake
 
Nikwambie mtoa mada CCM ni chama kikubwa hapa nchini...CCM haikopi chama chochote hapa nchini CCM haikurupuki kama unavofikiria CCM inafanya kazi kwa mipango ya mda mrefu au mfupi..Kukielewa hiki chama unahitaji kuwa genius...CCM ni chama kinachobadilika kama kinyonga kuendana na wakati..Hvo kama unadhani CCM inaokopa CHADEMA bado hujakua ludi ukanyonye maziwa ya mama...Mimi sio Mwanachama wa chama chochote lakin navifatilia vyama vyote navijua...CCM Tumeikuta na tutaiacha nukuu haya maneno.
 
Malori ya #kusomba pamba# yamefanya kazi ya kusomba nyumbu ipasavyo. Andika sentensi hii kwa Kiingereza.
 
Maroli na mabasi yamefichwa wapi?
 
Nguvu yao ipo ktk kumiliki tume ya Uchaguzi na Polisi
Siku wakiviachia hivyo viwili, CCM itapigwa Kama mbwa koko!
 
Kinachofanywa na waandaji wa ziara za Rais ni sawa na kupiga punyeto tu, umati huo hauakisi ukweli wa hali halisi ya Samia kukubalika hasa huku Kanda ya Ziwa.
 
Hapo tu ndipo siielewag CCM 🤣 🤣 kama inapendwa san na inajaza nyomi namna hiyo kwann wanaogopa tume huru?
 
Ukute Buku ten zimetembea hapo! 😁 Wakati huu mgumu kupata wingi huo...!
Hapo wakurugenzi ukute washawaandikia walimu na posho juu waende kupokea.... We subiri baada ya Muda utasikia maelekezo alitoka juu walimu waende
 
Watoto washule za msingi hao hata umri wa kupiga kura hawajatimiza.

Ziara za rais shule zote hufungwa na watoto wa shule zote huambiwa kwenda kumpokea rais, na shule za mbali hubebwa kwenye maliri ya polisi,magereza na ma bus ya binafsi ili kamati ya mapokezi isilaumiwe.

Na vijijini huko watu hulazimishwa kufunga biashara zao na shughuli zao kumpokea mtawala, hivyo kuona wati hivyo siyo ushindi.
 
Mama mla watoto ni hatari sana kwa ustawi wa taifa
 
Ukute Buku ten zimetembea hapo! 😁 Wakati huu mgumu kupata wingi huo...!
Hapo wakurugenzi ukute washawaandikia walimu na posho juu waende kupokea.... We subiri baada ya Muda utasikia maelekezo alitoka juu walimu waende
True
 
Mimi nayaita "MAONYESHO na MAIGIZO" ya Samia Suluhu Hassan.

Samia ni mwana sanaa. Haya mambo ya maigizo ndiyo fani yake halisi, siyo siasa.

Tatizo linalosumbua, ni maigizo ya aina hii yakiunganishwa na uovu unaofanyika ili kumbakisha madarakani kwa nguvu. Hilo ndilo tatizo linalohitaji kutafutiwa dawa haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…