Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

Kwenye Madaraka utafanya kila kitu uendelee kubaki madarakani. Imagine huyu Samia aliyekuwa hataki kumtaja Yesu kwenye salamu zake leo anasalimia kwa jina la Yesu alilokuwa analiavoid. Amesahau salamu yake ya Jamuhuri wa Muungano ...!!
 
Mwenyewe nimeshangaa
 
Kinachofanywa na waandaji wa ziara za Rais ni sawa na kupiga punyeto tu, umati huo hauakisi ukweli wa hali halisi ya Samia kukubalika hasa huku Kanda ya Ziwa.
Mkuu 'CHIEF PRIEST', ninakubaliana na unayoyasema; lakini kuyasema tu hayo haitoshi kabisa.

Hii ni fursa nzuri kabisa kwa watu mliopo "saiti" kuyasoma na kuyaelewa haya jinsi yanavyotokea. Mkifanya hivyo itakuwa ni msaada mkubwa sana kwa wote wanaopambana na uigizaji huo.

Ni rahisi kabisa kujuwa hao watu wanaojitokeza hivyo, ni kipi hasa kimewasukuma kufanya hivyo. Hawa ni watu mnaoishi nao mitaani kwenu; mnazungumza nao kila siku.
Fanyeni mambo kisayansi kidogo; kwa kufanya hivyo mtakuwa mmechangia pakubwa namna ya kupambana na mazingaombwe haya.
 
Hao watu wanasombwa kutoka maeneo mbalimbali kwa mabasi na malori kupelekwa huko wanapewa hela elfu tano hadi kumi, wanapewa na chakula na pombe za kienyeji. Mwaka jana wakati wa kuzima mwenge watu walikuwa wanapewa sombwa hadi Kirumba stadium na kupewa elfu kumi getini na ukishaingia mlango unafungwa hamna kutoka. Haya ni maandalizi ya kuchakachua matokeo ili INEC wakitangaza kuwa ameshinda kwa 99.9% watu wasishangae.
 
Hii ndiyo taarifa mkuu, tena panapowezekana, hata mapicha ya hayo malori yanasogezwa.

Kwa hiyo hii ni wazi kwamba mafuriko haya ni maandalizi yaleyale ya kuiba uchaguzi; na ushahidi wa matukio haya ingefaa uwepo kila mahala.
CHADEMA wanazo ofisi zao huko kote; wakati huu pangekuwepo na ukusanyaji wa taarifa hizi na kuzipanga vizuri kuziwasilisha kama ushahidi.
Na wasingeishia hapo, wangefanya jitihada kuwaelimisha wananchi hawa kuhusu kunyang'anywa HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe, kwa kutumiwa tu (kununuliwa) kirahisi namna hiyo.
 
Kwenye Madaraka utafanya kila kitu uendelee kubaki madarakani. Imagine huyu Samia aliyekuwa hataki kumtaja Yesu kwenye salamu zake leo anasalimia kwa jina la Yesu alilokuwa analiavoid. Amesahau salamu yake ya Jamuhuri wa Muungano ...!!
Na watu watajisahau kabisa kwa sababu ya maigizo kama hayo!
 
Hiyo ni sinema. Ungelijua kilichofanyika bro utashangaa. Huyo hawezi kupata watu kama hao.
 
Ukubwa huo ingeonyesha kwa kupambana kwenye sanduku la kura na vyama vingine. Si kuvikandamiza na kuvidhulumu kupitia tume ya uchaguzi inayoiremoti. Si kuangamiza vijana wenye uelewa mpana. Ni ubinafsi na kujidanganya.
 
ndo unavojidanganya hvo CCM imekamata hadi kwenye vijiji ambavyo huvijui...CCM imejiimarisha wewe acha kujidanganya kuna vijiji ukivitembelea hawaijui CHADEMA Wanaijua CCM na ACT Wazalendo, ukienda vijiji vingine wanaijua CCM na CHADEMA, unapata kujua CCM kila kona ipo..ukienda mijini huko huikosi CCM halafu unasema CCM hawapo vizuri kwenye sanduku la kura..Imarisheni chama chenu hadi vijijin ndani kabisa ndo mje kubwabwaja hapa..naukumbuke vyote hvo vinaenda sambamba na fedha..je mnapesa?
 
Sisi video zetu huwa wahudhuriaji tunawaona na sura zao. Ila hii ya kwao tunaona watu kama vipande vipande vya mawe tu.

Ninyi wenzangu hizi video mmezielewa?
 
Mzigo huo
 
Attachments

  • OMBI.png
    993.4 KB · Views: 23
  • 6099884-ba2e60fe6690a675686ad4b039e44436.mp4
    1.1 MB
Hata kama Mkt wa tume akawa Heche CHADEMA hashindi chama kimezorota mno
 
Siasa siasani
 
Kama ni halali iweje waanguke na semitrela? Watumishi wa serikali wanalazimishwa kuacha kazi na kwenda kumpokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…