Sasa ni hawa hawa Wakurugenzi wanaotengeneza kura za uongo hivyo hivyo wakati wa chaguzi.
Kwa hiyo inajulikana tatizo liko wapi; na kwa hivyo hivyo ni sahihi kabisa kuelekeza nguvu zinazolenga kuwadhibiti hawa wachache wasiharibu uchaguzi.
Ni rahisi zaidi kuwabana hawa kuliko kwenda kupambana uso kwa uso na wenye mitutu ya bunduki moja kwa moja.