Na Ndio Maana Ya Halisi Ya MaishaNilipokuwa deep kwenye dini maisha yangu yalikuwa magumu kama chuma Cha pua nimetoka uko uko ila waya ni mkali sana unaweza ukadata na kupagawa Kuna mida huelewi maisha yanataka nn? Kmmk
Huyo Mungu ananizingua kweli kweli😃.🤣 kikatili sana yani hutaki hata mbwembwe!
Sasa kama Mungu hatoi mtu anachoomba, kuna haja gani ya kumuomba?yani hilo tu? best, Mungu hakupi unachokitaka anakupa unachostahili kwahiyo ww huamini kuna Mungu?
Habari kaka, jaribu huko kwenye asili kama ulivyoamua.Huyo Mungu ananizingua kweli kweli😃.
Kila nikimuomba naambulia patupu
Nimestukia mchongo aisee.
Ngoja nijaribu asili pia
Kwamba natumia njia zipi🤔Mungu anafanya kazi sana bila masharti Wala usumbufu wowote,tatizo ni njia unazozitumia mkkuu
Yani acha tu Mkuu.Nilipokuwa deep kwenye dini maisha yangu yalikuwa magumu kama chuma Cha pua nimetoka uko uko ila waya ni mkali sana unaweza ukadata na kupagawa Kuna mida huelewi maisha yanataka nn? Kmmk
Na wengi wanamuomba huyo Mungu wakiwa wanaogopa story za jehanam.( Stori ya kusadikika)Watu wa dini kwa kujifariji hawajambo.
Eti Mungu hawahi wala hakawii, eti anakuja kwa "wakati wake"
Fikiria hivi, uko jangwani unahitaji msaada wa Mungu, ila hakusaidii kwa kisingizio cha kwamba atakuja kwa wakati wake, sasa huyu Mungu ana msaada gani?
Yaani mpaka ajisikie ndiyo akusaidie?
Kwamba hata uombe mwaka mzima hawezi kukusaidia kama muda aliopanga haujafika?
Kwahiyo tayari alishapanga maisha yetu yatakuwaje?
Sasa kama alishapanga maisha yetu kuna ulazima gani wa kumuomba?
Kumbe huwa hajibu maombi!!!HE IS STILL GOD,hata asipojibu maombi , yeye Bado ni MUNGU...
Kwanini Madam!!Shauri lako
Nguvu ya Mungu iko katika bidii na uaminifu wako, kinyume chake yupo yupo uvivu, laumu na ushirikina 🐒
Kwenye kutambika mi sio mzoefu na sijui michakato ya kufuata.Nenda katambike mzee, fuata unachoamini
Mungu yupo na hapo ulipo una jeuri ya kusema kwa sababu ya Nguvu ya Mungu.
Hata hivyo huenda amesikia kilio chako siyo muda mrefu anakuja kumaliza shida zako.
Hii nataka niipractice sio kuwa tu na imani.Habari kaka, jaribu huko kwenye asili kama ulivyoamua.
Ila ushauri wangu achanavna mambo ya imani, ishi kwa kutegemea fact na siyo mambo ya imani.
Imani zinapumbaza mkuu.
Angalau point yako ina mashiko kiaina.Mimi naamini katika Mungu kama Muumba wetu ila sio kwamba ndio anafanya magic ili tufanikiwe.
Siamini kama yeye ndio anahusika na mafanikio yangu. Mungu aliumba kila kitu akatuacha tuishi, yeye hatuingilii kwenye maisha wala mipango yetu.
Tuache kusali sana kudhani ndio tutafanikiwa kupitia sala. Mafanikio unayatafuta wewe mwenyewe
dunia haiko fair kabisa na mungu wa hii dunia ni katili sana
Acha kabisa Mkuudunia haiko fair kabisa na mungu wa hii dunia ni katili sio poa
Mungu fala tu, hawezi kukupatia hata senti mojaUsikute ulikuwa unamuomba mihela ila yeye akaona hiki kichwa nikikipa hata m50 hakitatoboa hata miaka 3... kitaanza kutishia bastola watu mtaani na mwisho kidedi kwa starehe
Kumbe ni Mungu mjinga anapenda kuona watu wake wakiishi maisha ya kifukara!!!Usikute ulikuwa unamuomba mihela ila yeye akaona hiki kichwa nikikipa hata m50 hakitatoboa hata miaka 3... kitaanza kutishia bastola watu mtaani na mwisho kidedi kwa starehe