residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Umeandika kitu kinachopaswa kufanyika.Awe paroko asiwe paroko haijalishi, cha muhimu ni hatua stahiki kwa wahusika wa unyama ule. Wasio na hatia waachiwe na wenye hatia wakafie gerezani maana sio binadamu wenzetu hao.
Upadre ni sacramenti huwa hautoki milele huyo ni padreTaarifa zinasema huyo mtajwa ni Padre aliyesimamishwa kufanya huduma kutokana na tatizo la uraibu wa pombe.
Ni kweli alikuwa mlevi akapewa hisani kanisaniNi paroko kweli mimi pia ni mkatoliki na nipo uku kagera mkuu inauma sana.
Afadhali wewe kuwa mkweli ubarikiwr na MunguNi paroko kweli mimi pia ni mkatoliki na nipo uku kagera mkuu inauma sana.
Kufahamu kuwa huyu ni Paroko au siyo Paroko unasikiliza wananchi wa hilo eneo au unawauliza waliompa hiyo kazi ya kuwa Paroko..kulikuwa na ugumu sana kupigia watu wa Jimboni kuuliza kama kweli huyo mtu ni mtumishi wao, au ni namna ya kuhamisha mjadala, msemaji wa polisi anawezaje kutamka cheo cha mtu bila kuwauliza waliompa hicho cheo??? Jimbo Katoliki la mahali husika wanawajua maparoko wote wa jimboni kwao..Wanajumuiya kina nani?
Ina maana jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo alikuwa paroko?
Polisi wamewezaje kusema ni paroko?
Ina maana wananchi wa hilo eneo walikuwa hawajui mpaka wawambie polisi huyo mtuhumiwa ni paroko?
Kwa hiyo jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba alikuwa paroko?Kufahamu kuwa huyu ni Paroko au siyo Paroko unasikiliza wananchi wa hilo eneo au unawauliza waliompa hiyo kazi ya kuwa Paroko..kulikuwa na ugumu sana kupigia watu wa Jimboni kuuliza kama kweli huyo mtu ni mtumishi wao, au ni namna ya kuhamisha mjadala, msemaji wa polisi anawezaje kutamka cheo cha mtu bila kuwauliza waliompa hicho cheo??? Jimbo Katoliki la mahali husika wanawajua maparoko wote wa jimboni kwao..
Kwani mtuhumiwa hajui kuongea mpaka wakaulize jirani? Maelezo aliyoyatoa ndiyo yametangazwa na utakuta kasaini kuthibitisha alichotamka kutoka kwenye kinywa chake.Kufahamu kuwa huyu ni Paroko au siyo Paroko unasikiliza wananchi wa hilo eneo au unawauliza waliompa hiyo kazi ya kuwa Paroko..kulikuwa na ugumu sana kupigia watu wa Jimboni kuuliza kama kweli huyo mtu ni mtumishi wao, au ni namna ya kuhamisha mjadala, msemaji wa polisi anawezaje kutamka cheo cha mtu bila kuwauliza waliompa hicho cheo??? Jimbo Katoliki la mahali husika wanawajua maparoko wote wa jimboni kwao..
Una uhakika kanisa limekaa kimya?Kitendo cha watuhumiwa(kanisa) kukaa kimya mpaka muda huu kwa tuhuma nzito kiasi hicho ni udhibitisho tosha kwamba kuna ukweli ambao wanautengenezea majibu.
Cheo chake ndicho kimefanya uovu au yeye mtu binafsi, kwa nini msemaji anataja Paroko...angetaja jina tu kuna ubaya au mapungufu gani..Sasa badala ya kuombeleza kifo cha mtoto na kutaka wote waliohusika wanyongwe ..tutaanza kutetea Imani zetu zisichafuke?..kwani hata akiwa Askofu...si ni yeye binafsi na uovu wake? Imani yake inaingiaje,?
Wewe unapoandika ni mfagizi ofisin halmashauri, wanaoandika maelezo wanazuiwa kuuliza halmashauri unakofanyia kazi? angesema yeye ni mpishi ikulu wasingeuliza ikulu kama mtu huyo wanamfahamu? kuna tofauti mtu anapotaja jina lake au cheo chake, jina ni lake binafsi, cheo si chake na hivyo ni vyema kuwauliza wenye hicho cheo kama kweli muhusika ni mtu wao..Kwani mtuhumiwa hajui kuongea mpaka wakaulize jirani? Maelezo aliyoyatoa ndiyo yametangazwa na utakuta kasaini kuthibitisha alichotamka kutoka kwenye kinywa chake.
Wewe hutaki mtu awe mjuaji..ni kosa kuwa mjuaji? angetaja kuwa ni Polisi mwenzao wasingetaka kupata uhakika wa hayo anayosema huko anakofanyia kazi?Kwa hiyo jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba alikuwa paroko?
Au wewe ndio mjuaji sana kwamba huyo mtuhumiwa sio paroko?
Unao uhakika? sina maana ya kubisha ila tunahitaji facts maana hata Askofu Kilaini alihusika kwenye wizi wa pesa za ESCROWKanisa linatafuta kujisafisha tu, Baba paroko kahusika
Time will tell .Salaam Wakuu,
Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.
Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.
Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.
"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".
Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.
Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Kwa hiyo jeshi la polisi limekurupuka kusema kwamba huyo mtuhumiwa ni paroko msaidizi?Wewe hutaki mtu awe mjuaji..ni kosa kuwa mjuaji? angetaja kuwa ni Polisi mwenzao wasingetaka kupata uhakika wa hayo anayosema huko anakofanyia kazi?
Uovu hauna cheoUmeandika kitu kinachopaswa kufanyika.
Uovu hauna dini.
Uovu hauna kabila.
Uovu hauna rangi.
Uovu hauna dhehebu.
Kwani mtu akiitwa Paroko, Sheikh, mchungaji au Askofu au cheo kingine chochote Cha kidini hawi binadam wa kawaida tena? Shetani hamtafuti? Hawezi kutenda dhambi tena? Hawezi kuanguka dhambini? Kama hahusiki si ataachiwa? Si ni mtuhumiwa tu? Kwani Mahakama imethibitisha? Kama kahusika Mahakama au Polisi wenyewe si watakamilisha upelelezi?Limekosa weledi kisa anaetuhumiwa ni Paroko? au una maana gan mkuu.