Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Huyo Paroko ni mtu msomi tena wa dini, halafu anaendekeza ushirikina.

Kaliaibisha sana Kanisa Katoriki huyo mwehu.

Analishwa bure na kuvishwa bure na usafiri wa bure halafu anafanya upumbavu wa hali ya juu kabisa.

Mauaji ya huyo mtoto yamenihuzunisha sana.

Shenzi zake
 
Mkuu Mungu hajwaihi kumuumba Paroko wala polisi Mungu aliumba binadamu
 
Kinachonisikitisha ni padri akihusika kanisa linashiriki kumnasua, hawajali maumivu ya victim
 
Kanisa katoliki lina utaratibu wake huwa hawakurupuki kama alivyokurupuka msemaji wa polisi ndiyo maana linaheshimika duniani kote.Aliyekurupuka kumtaja paroko ajitokeze tena kulisafisha kanisa mbele ya vyombo vya habari
Atajitokeza vipi wakati kanisa lenyewe halijakanusha? Kumbuka polisi wanasema wanamshikilia paroko sasa unajua paroko alivyohojowa kajibu nini? Ila sishangai kama padri kimario aliyefungwa kwa kesi ya ulawiti alitoroshewa msumbiji basi hata hili litapita na baba paroko atabaki salama
 
Una uhakika kanisa limekaa kimya?
Mimi nina uhakika kanisa limekaa kimya hadi muda huu ninapoandika hapa, kama polisi tumewasikia kwanini kanisa tusilisikie? Wao wanatumia media gani ambazo sisi hatuzijui?
 
Kanisa limeshikwa pabaya this time kwa tabia zisizoridhisha za viongozi wake. Waachwe wajitetee wenyewe kwa kumkana padre wao. Siyo huyo tu, hata wengine wanatabia mbovu sana kwenye jamii.
 
Kwa nini li cost ikiwa Paroko Msaidizi yeye mwenyewe kamuandikishia MTeU simu Kwa Jina lake
 
Nyie ndo mnakuwaga watu wa hovyo sana, serikali kwenye uchunguzi wa jambo nyeti hivi, inawezaje wakosee jina..?
Siku hizi ma padri wengi wanashiriki sana kwenye ushirikina, wanazaa nje ya wito wao na wanaongoza kutoa mitaji ya biashara kwa wanawake mnaowaona nje huko wana hela zisizoeleweka.
 
Mtu anahangaika kusafisha uchafu kwa kutumia uchafu, kiongozi wa dini ni binadam kama ww hulka zote za kibinadam anazo, ndo maaana hata kwenye Escrow walitajwa
Punguza kuwaona miungi watu
 
Wewe mtoa uzi..pameandikwa wapi kama Paroko/Padiri katakwa kwa makosa na Polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…