Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Hii ni mihemko yenu tu . Lakini hao ni watuhumiwa tu , watakuwa na hatia mpaka pale mahakama itakapothibitisha .

Ila kwa tuliosomea Cuba tunanusa kuwa taarifa ya polisi ina walakini na inatia mashaka .
Mpaka mtheme
 
Umesema hapa huyo ni padre!
 
Waandishi wa Investigative journalism ingieni kazini mtandaonwa wafanyabiashara wa viungo vya binadamu naona uko kazini kujitahidi kutaka kumchomoa mwenzao

Hii kitu kitu yaweza ibua mazito kuwa hasa ni akina nani hasa wanahusika na biashara ya albino Kanda ya ziwa

Pandora box inakaribia kufungua

Investigative journalists wa ndani na nje ya nchi ingieni kazini
 
Mkuu ulishajibu huyo ni padre
Je, jibu langu lilikuwa na “Padre” pekee au kulikuwa na maelezo mengine? Naona unakusanya na kutoa taarifa katika style ileile inayokaribisha makosa na mkanganyiko.
 
 
Sasa akanushe kwani ametajwa kwa jina? Mambo ya uandishi magumu. Siku moja nikiwa newsroom ilikuja caption kutoka kwa mwandishi Zanzibar na kulikuwa na ibada ya Kiislamu na caption ilisomeka: *Sheikh X akiongoza Misa....katika Msikiti Y Zanzibar." Upo hapo?
 
 
Hawa wote ni watuhumiwa. Kamatakamata ya mwanzo ya polisi, huwa ni kama fagio. Baada ya kuwahoji, ndipo wanachabuliwa kuona nani ashtakiwe na nani aachwe. Kwa hiyo kukamatwa kwa Paroko au msaidizi wake, siyo ajabu.

Ila cha ajabu, ni umbali uliopo kati ya Kamachumu na Bugandika. Kama 70 km.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…