Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Kama kweli Paroko katajwa kimakosa kifo cha Albino, Polisi Mtawaambia nini Watanzania?

Si kweli, huyo ni Padre wa Parokia ya Rutabo siyo hiyo Polisi wanayoisema. Sijui kuhusu issues za identities, ila nijuavyo mwenye jina hilo ni Padre wa Parokia ya Rutabo na hata ukimpigia namba yake inapatikana.
Sijajua kuhusu upande huu wa taarifa ya Polisi kama ina ukweli au ina makosa
Umesema hapa huyo ni padre!
 
Mkuu ulishajibu huyo ni padre
Soma acha kukurupuka ovyo
IMG-20240619-WA0019.jpg
 
Waandishi wa Investigative journalism ingieni kazini mtandaonwa wafanyabiashara wa viungo vya binadamu naona uko kazini kujitahidi kutaka kumchomoa mwenzao

Hii kitu kitu yaweza ibua mazito kuwa hasa ni akina nani hasa wanahusika na biashara ya albino Kanda ya ziwa

Pandora box inakaribia kufungua

Investigative journalists wa ndani na nje ya nchi ingieni kazini
 
Mkuu ulishajibu huyo ni padre
Je, jibu langu lilikuwa na “Padre” pekee au kulikuwa na maelezo mengine? Naona unakusanya na kutoa taarifa katika style ileile inayokaribisha makosa na mkanganyiko.
 
Waandishi wa Investigative journalism ingieni kazini mtandaonwa wafanyabiashara wa viungo vya binadamu naona uko kazini kujitahidi kutaka kumchomoa mwenzao

Hii kitu kitu yaweza ibua mazito kuwa hasa ni akina nani hasa wanahusika na biashara ya albino Kanda ya ziwa

Pandora box inakaribia kufungua

Investigative journalists wa ndani na nje ya nchi ingieni kazini
IMG-20240619-WA0019.jpg
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Sasa akanushe kwani ametajwa kwa jina? Mambo ya uandishi magumu. Siku moja nikiwa newsroom ilikuja caption kutoka kwa mwandishi Zanzibar na kulikuwa na ibada ya Kiislamu na caption ilisomeka: *Sheikh X akiongoza Misa....katika Msikiti Y Zanzibar." Upo hapo?
 
Sasa akanushe kwani ametajwa kwa jina? Mambo ya uandishi magumu. Siku moja nikiwa newsroom ilikuja caption kutoka kwa mwandishi Zanzibar na kulikuwa na ibada ya Kiislamu na caption ilisomeka: *Sheikh X akiongoza Misa....katika Msikiti Y Zanzibar." Upon hapo?
IMG-20240619-WA0019.jpg
 
Salaam Wakuu,

Mambo ya dini yanaamsha hisia sana.

Inadaiwa Paroko aliyetajwa si Paroko wala nini. Ni kweli Polisi nao ni Binadamu. Kwa hili tunaomba uwajibikaji.

Inadaiwa Paroko ni Deodatus Tibakwasa na msaidizi wake ni Fr. Mathias.

"Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime amewataja watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa jadi mkazi wa Nyakahama, Elipidius Rwegoshora Paroko Maidizi wa Parokia ya Bugandika ambaye anadaiwa kumfuata na kumshawishi Baba mzazi wa mtoto ili wafanye biashara ya viungo vya binadamu.".

Huyu Rwegoshora inadaiwa ni teja ambaye alikuwa anaenda kwa Paroko kupata msaada.

Bado naamini Taarifa ya Polisi. Ila pia natamani Msaidizi wa Paroko ajitokeze hadharani kukanusha mwenyewe.
Hawa wote ni watuhumiwa. Kamatakamata ya mwanzo ya polisi, huwa ni kama fagio. Baada ya kuwahoji, ndipo wanachabuliwa kuona nani ashtakiwe na nani aachwe. Kwa hiyo kukamatwa kwa Paroko au msaidizi wake, siyo ajabu.

Ila cha ajabu, ni umbali uliopo kati ya Kamachumu na Bugandika. Kama 70 km.
 
Back
Top Bottom