Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupi huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.