Kweli kabisa.Kwenye swala la kumuabudu Mungu kamwe usiamini mtu na ogopa sana yule ambaye kila wakati anamtajataja Mungu, huyo ndio muovu mkubwa na wa kutupwa.
Ukiangalia vizuri huwezi kukuta watu weupe wakitajataja jina la Mungu, achana na waarabu.
Kwenye mambo na changamoto zinazokukabili Mungu aliishakupa akili na kukuweka hapa duniani hivyo ni jukumu lako sasa kupambana na kwa hili ndio maana watu weupe wanafaulu sana.
Kubaki kumtajataja jina hakusaidii lolote na inakufanya uonekane mnafiki tu kwani wakati unamtaja taja utakuta una maovu kibau ambayo wakati huo unamtaja taja wala utakuta hauwezi kuzitubu na ndio maana hata hizo sala hazijibu. Anawaona wasanii na wanafiki tu.