Week end huwa nzuri kwa tunalipa kodi nyingi za namna tofauti..
Chupa yangu ikiwa inakaribia kuisha hapa,mara nikakumbuka leo ni siku ya 3 kuliombea taifa.
Sija kaa sawa ITV wanarusha habar ya askari mkoani mbeya.
Nawaza ni askari hawa hawa waliokuwa wanakamata na kuzuia watu waliokuwa na nia ya kufanya maombi ili Tundu Lissu apone haraka.
Leo imekuwaje jinai ya kufanya maombi kufanywa kituo cha polisi,tena kukiwa na hamasa nchi nzima.
Mungu ni mwema daima. Tuendelee kumuomba hata pale tunapowekewa vikwazo na mawakala wa shetani.
Corona ipo,chukua tahadhari,endelea kumuomba Mungu atuepushe na maafa ya corona lakin pia wanasayansi waweze kuipatia tiba.
Sent using iphone pro max