Kamuulize LissuAmesalit nchi gani ? Usaliti ni nini ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize LissuAmesalit nchi gani ? Usaliti ni nini ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulitakaje wewe dada?Baada ya haya waliachia mipaka wazi ili wasikose hela ya utalii.
wewe ndio unajua sababu wewe ndio umesema sijamsikia lissu akisema, sasa kama huna hata confidence ya alichofanya exactly tutaamin vipi ?Kamuulize Lissu
Kwani hilo likikua ni janga?Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Hapo nimekubali mkuu ila ukweli ndio huo, watu wanatafuta wepesi na wepesi upo ccm na ndio mana wengi wanakimbilia huko, wala me sijamhukumu mtu mkuu, enjoyMkuu Dunia hii kila mtu anatafuta sehemu ya kushibia haijalishi ni njia sahii au sio sahii!
Walioichagua siasa kama sehemu ya maisha yao wanajua mengi.
Mate well said!Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
sa kuna tatizo gani ? jaman mashati ya picha ya mtu au maneno yakumuombea heri ni tatizo ? kwan nyie jamaa kichwani huwa mna nini ? ebu sema hapa logically shati yenye maandish ya kumtakia mtu kheri ina tatizo gani mpaka watu wakamatwe na police ?Swala la kumuombea mtu hadi mtengeneze mashati?
Ndio maana huwa naona sawa tu mkipigwa bakora na polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
sa kuna tatizo gani ? jaman mashati ya picha ya mtu au maneno yakumuombea heri ni tatizo ? kwan nyie jamaa kichwani huwa mna nini ? ebu sema hapa logically shati yenye maandish ya kumtakia mtu kheri ina tatizo gani mpaka watu wakamatwe na police ?
Hata kuchangia damu ikageuka kua kosa la jinai na uhujumu uchumi!!Tulikatazwa mikusanyiko ya maombi. Hata kumsomea misa tulikazwa. Leo mnataka tuungane kukaombea ka ugonjwa.
hapo sasa!Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Tuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.

aisee umenikumbusha hadi hasira,kuna siku bhana kanisani wakasema tunamaombi ya kuliombea taifa na viongozi wa serikali akiwemo raisi,basi kati ya walioteuliwa kuomba nikawemo,ilipofika zamu yangu basi nikapiga maombi nikahitimisha bila kumsahau Tundu Lisu Mungu umponye huyu mtumishi wako nauwakomeshe maadui zake,halo waumini walipigwa butwaa nakuambia nilikuwa naulizwa na kila mmoja baada ya maombi we jamaa hujipendi ehh
Hivi tumepaa eeh?Ulizibwa mdomo usimuombee?
Mimi sio Chadema ila nilimuombea apone ili ashuhudie Tanzania Yetu inavyopaa kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe mama upo smart.ntumie number yako PM nikupe ya sodaTuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Kuna kiongozi mmoja alisema watanzania ni makapuku tukiweka lockdown tunawaua, mara tunapaa mara makapuku