Kumbe wewe hukumuombea sababu tu ulikatazwa kuvaa tisheti ulitaka Mungu asome ile tisheti ,
Mbona wengi tu tulikua tukimuombea na ukuu wake Mungu akawezesha kupona.
Ukisubiri chakula kwa jirani kwa njaa yako utakufa nayo
Tulikatazwa mikusanyiko ya maombi. Hata kumsomea misa tulikazwa. Leo mnataka tuungane kukaombea ka ugonjwa.Kumbe wewe hukumuombea sababu tu ulikatazwa kuvaa tisheti ulitaka Mungu asome ile tisheti ,
Mbona wengi tu tulikua tukimuombea na ukuu wake Mungu akawezesha kupona.
Ukisubiri chakula kwa jirani kwa njaa yako utakufa nayo
Tuungane tu dada angu Hakuna namna sifa kuu ya Mungu ni kusamehe nasi tumeumbwa kwa mfano wake inatubidi kusamehe piaTulikatazwa mikusanyiko ya maombi. Hata kumsomea misa tulikazwa. Leo mnataka tuungane kukaombea ja ugonjwa.
aisee umenikumbusha hadi hasira,kuna siku bhana kanisani wakasema tunamaombi ya kuliombea taifa na viongozi wa serikali akiwemo raisi,basi kati ya walioteuliwa kuomba nikawemo,ilipofika zamu yangu basi nikapiga maombi nikahitimisha bila kumsahau Tundu Lisu Mungu umponye huyu mtumishi wako nauwakomeshe maadui zake,halo waumini walipigwa butwaa nakuambia nilikuwa naulizwa na kila mmoja baada ya maombi we jamaa hujipendi ehhTulpen katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Kwa post yako hii umemkosesha heshima huyo mwanamama kwenye avatar yako!!Tulpen katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Ni msaliti wa nchiTulpen katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Tulpen katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Kama kuna serikali ya hovyo duniani hii ya Magufuli na CCM yake ni ya hovyo kupindukia. Ni ya kishamba, Serikali iliyojaa watu wasioelewa wenye mawazo ya kichawi. Nchi yetu katika mahusiano ya kimataifa imekuwa ya hovyo hovyo kwa sababu viongozi hao sijui wametoka sayari gani? Ni wa hovyo mnoTuli katazwa kukusanyika na kumuombea kiongozi na mbunge wetu alipopigwa risasi 16. Tulikatazwa kuvaa T-shirts za Pray 4Tundu Lissu.
Ni Mungu yupo huyo anaechagua maombi. Hata kwenda kumjulia hali Tundu Lissu hospitali lilikuwa kosa la jinai.
Nchi imekuwa ya matabaka, viongozi wa upinzani wanaonekana kama wahalifu. Hawa ni viongozi tuliowapigia kura na tuna imani na uongozi wao.
Kumbe hata hili twaweza omba kila MTU peke yakePunguzeni Utani na Matabaka kwny Swala Nyeti kama hili.
Mbona mnakuwa kama mafarisayo Ulitaka unapomwombea Lisu kila mtu barabarani aone unaomba? Ndo Mungu angejibu au?,au kwa kuomba vile ungemshurutisha Mungu ajibu.?
Kwani ungemuombea ukiwa chumbani kwako Mungu asingeskia?
Mbona ulipozuiwa bado watu waliomba majumbani kwao Lisu hakufa,alipona Hata sasa anaishi!!!.
Kuna wengine wapenda maombi ya kinafiki,
Hupenda sala zao sikiwe na kila mtu.
Kama ndivyo uaminivyo iweje leo tupewe muongozo wa maombi tena kwa siku tatu? Ameona/amegundua nguvu gani ktk maombi?? Hapo ndipo unapogundua ni aina gani ya viongozi tulionao.Kumbe wewe hukumuombea sababu tu ulikatazwa kuvaa tisheti ulitaka Mungu asome ile tisheti ,
Mbona wengi tu tulikua tukimuombea na ukuu wake Mungu akawezesha kupona.
Ukisubiri chakula kwa jirani kwa njaa yako utakufa nayo