Kama kweli tunamuamini Mungu katika majanga ni kwanini tulikatazwa kumuombea Tundu Lissu alipopigwa risasi?

Bwashee kuna tofauti kati ya Kuvamiwa na majambazi na Covid 19!
Bwashee Covid 19 ni shetani sawa ambavyo majambazi pia nao ni mashetani.

Madhara yao wote hufanana.

Kuumiza mwili,
Kupoteza maisha,
Kuharibu uchumi, n.k

Sent using iphone pro max
 
Naona wachangia uzi mmeegemea zaidi katika ubishi wa kisiasa,...but police walikamata watu kipindi kile wote waliokusanyika kwa kumuombea lissu as if it was a crime ila leo wao wamekusanyika na kutuaminisha kwamba kusali juu ya tatizo flani Ni sawa
 
CCM CHAMA CHA MACHINJACHINJA
 
Bwashee kuna tofauti kati ya Kuvamiwa na majambazi na Covid 19!
Tuongoze Sala ya kuvamiwa na majambazi na Sala ya covid 19 alafu tuone Kama moja utamuomba mungu na nyingine utamuomba shetani,.... sijui mnafikiri kwa kutumia nini
 
Who the fuvc is lissu....... don't tell me you tryin to compare world pandemic with dipshit...........stop using your butt as a brain.........
 
Viongozi wa dini ni matapeli
 
Who the fuvc is lissu....... don't tell me you tryin to compare world pandemic with dipshit...........stop using your butt as a brain.........
Fu-ck you and your whole clan of idiots.
 
Mathayo 18:20

Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.”
 
Acha upunyungu wewe, kwani kumwombea mtu mpaka mkusanyike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…