Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,955
Kichwa kinajieleza.

Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.

- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
- Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.

Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.

Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.

Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
 
Umechelewa kuacha "poor dady"
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachosema ni nini sasa?
Ulikopa bila malengo au malengo yako yameharibiwa na unayemuita Magufuli? Unalaumu mtu ambaye hukumshirikisha ktk mikopo yako? Mikopo bila malengo ni bureee!
 
Badala ya miti kalime parachichi rungwe huko
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Kigogo2014,kachafua kweli kweli....! hali ya hewa sijui huyu kamwekea sumu huyu,huyu anakunywa makombe ya kiganga yaani ni shida sana ndg watanzania.
#Mola aitizame tanzania kwa jicho la hurma.
AMIN.
 
Rais ameingiaje katika mikpo yako?
Acha kazi uone ilivyo vigumu kupata kazi,huyo anayekushauri analengo la kukuangamiza kabisa,wakati unaajiriwa hukuujua mshahara wako au ndio mnaotegemea kwwnda kupiga pesa za wanyonge...Pambana...Matatizo hayakimbiwi.
 
Usilime miti ya mbao. Lima miti ya matunda. Kuna miti baba yangu aliipanda mwaka 2,000. Kafa kaiacha mimi ndio nimeivuna majuzi. Miti ya matunda in 4 yrs unaanza kuvuna on a continuous basis.
Usiseme kafa bana ,sema ametutoka au amefariki mungu amlaze pema peponi.
-Hawa baba zetu tunao hapa hapa duniani.
 
Acha mwaka huu kabisa. Au unaongeza mtaji kwa mshahara wa Magufuli kwanza.
 
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Asipo kunyima mshahara atakuteka!.
 
Umeongeza familia tofauti na ulivyoajiriwa lakini hakuna nyongeza ya mshahara na wategemezi wameongezeka lakini mtu mmoja hajali wengine waliye chini yake katika uongozi wake kuwa wafanyakazi wa serikalini ndio wasaidizi wake kwenye swala la maendeleo ya nchi
 
Back
Top Bottom