Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

Kichwa kinajieleza.

Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.

- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
- Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.

Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.

Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.

Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Magufuli ndiye atakaye kuwa Rais baada ya 2020,kwa hiyo anza tu kupiga lapa mkuu,don't wait.Kwanza wewe sio dili sana,vijana wengi wako mtaani wanasubiri tu uondoke wazibe nafasi.They could be better than you.
 
Bas ni kweli serikali INA wajibu Wa kuweka mazingira mazuri hasa ongezeko la mishahara kila mwaka kwa wafanyakazi na kuwe mazingira rafiki kwa ajili ya wajasilia Mali wake pia na mahusiano mazuri na nchi nje na mipaka yake.Bila hayo tutakwamishana sana.
Kichwa kinajieleza.

Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.

- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
- Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.

Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.

Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.

Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaboa sana , unavuna viazi vyako unaambiwa havivuki kwenda nje.
Badala yake unawauzia walamguzi kwa bei chee. Ukikataa kuuza vinaozea shamba
 
Kichwa kinajieleza.

Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.

- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
- Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.

Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.

Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.

Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Umesoma lkn huku elimika. Wewe ndo unaisadia Elimu
Kwani kilimo siyo kazi?
 
Back
Top Bottom