Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

Unachosema ni nini sasa?
Ulikopa bila malengo au malengo yako yameharibiwa na unayemuita Magufuli? Unalaumu mtu ambaye hukumshirikisha ktk mikopo yako? Mikopo bila malengo ni bureee!
Mbona kwenye post yake kaeleza vizuri? Au we hujaona malengo ya kukopa kwenye post yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinga kuna ma brother wangu 2 wanalima wakitokea nearby district. Ila hawajatoboa bado wanaishia kupata million 2,3,5.
Ngoja mimi nikalime bustani Njombe huku miti yangu ya boriti ikikua. Tayari nina heka 2 Lupembe.
Nina broo angu ana eka 31 ya miti ya mbao akivuna hizo zote, lazima asahau shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
kila la kheri boss tunasubiri backup yako
 
Mkalime tu mtuachie miji yetu sio lazima kila mtu awe town...ndio maana tulianzisha vijiji vya ujamaa
 
Usiseme kafa bana ,sema ametutoka au amefariki mungu amlaze pema peponi.
-Hawa baba zetu tunao hapa hapa duniani.
Ukiona litoto linasema baba yake amekufa, ujue lilikuwa linakula timing ya kifo kitokee. Ni mmoja wa yale matoto yanayoishi kwa kujivunia mali ya baba.
 
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Yaahi ni afadhali uendelee tu na hiyo kazi yako japo mshahara ni mdogo. Magufuli atamaliza kipindi chake cha pili hilo halina mjadala. Huko kwenye kilimo cha miti ya mbao usije kushangaa kuona kumezunguushwa senyenge na vibao vilivyoandikwa eneo hili ni kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi hivyo nimarufuku kusogea ama kuingia katika eneo hili.
 
Ahahahahaaaa.
Eti eneo hili ni special kwaajili ya vifaru vya JWTZ .
You can die consequence
 
Nenda kalime tu....wengine waingie nafasi yako....hatuna muda wa kukubembeleza
 
Inaonyesha huna mipango thabiti.
Hata hili unalowaza utaanguka vibaya sana.
Miti ni biashara ambayo return yake ni ya muda mrefu huwexi kuitegemea, hii inatakiwa uifanye ukiwa na biashara au kazi mbadala wakati unasubiri ikomae.
Tatizo watanzania wengi wanakurupuka kuchukua mikopo kwenda kufanyia msjaribio ya biashara.
Binafsi bank zinanisumbua nichukue mikopo kwani wanaona mzunguko unaruhusu lakini sipendi kukaribisha mikopo bila kuwa na mipango thabiti ya kuhakikisha mkopo utajilipa bila kuumiza kichwa.
Sugua kichwa klla kitu kinawezekana ukiwa ndani au nje ya ajira
Kichwa kinajieleza.

Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.

- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
- Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.

Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.

Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.

Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongeza familia tofauti na ulivyoajiriwa lakini hakuna nyongeza ya mshahara na wategemezi wameongezeka lakini mtu mmoja hajali wengine waliye chini yake katika uongozi wake kuwa wafanyakazi wa serikalini ndio wasaidizi wake kwenye swala la maendeleo ya nchi
Hulipwi mshahara kwa idadi ya watoto uliyonayo bali kwa tija unayoleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mamikopo yako ya hovyohovyo ndo yanakufanya umchukie Mhe. Rais, nyani ngabu kabisa wewe!!!!. Kakope tena ili furaha yako irudi si umezoea madeni!. Ndo shida ya baadhi ya mitumishi ya umma, inakopa weeee halafu hasira za kudaiwa zinaelekezwa kwa Rais, ebooo!
 
Kichwa kinajieleza.

Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.

- Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
- Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
- Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.

Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.

Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.

Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Nimeisevu hii post.
 
CC:Kipara Kipya

Acha vijana wengi wako Mitaaani wachukue nafasi yako hiyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom