BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Vyote hivyo watu wamefanya kwa sasa nyumba na mapanga vinamilikiwa na majambazi kilimo sio mchezo mkuuUlikopa bila elimu ya mkopo. Anza mapema kutafuta shamba, majembe, mapanga, mbegu, weka nyumba ya kambi, dona na dagaa. Hata asiposhinda usiache kwenda shambani
kwa sababu umejificha nyuma ya fake ID nadhani utarudi kuna kudai kuwa ushaacha kazi maana hakuja anaekujua.Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Ukitishia kuacha kazi nyumba yako kuna zaidi ya wahitimu 10,000 wa chuo kikuu wanasubiri hiyo nafasi moja. TZS 4,000,000 itawezaje kuhudumia shamba la miti pamoja na wewe kwa miaka 15?Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Umenena kweli tupu mkuu.Usilime miti ya mbao. Lima miti ya matunda. Kuna miti baba yangu aliipanda mwaka 2,000. Kafa kaiacha mimi ndio nimeivuna majuzi. Miti ya matunda in 4 yrs unaanza kuvuna on a continuous basis.
Motivational Speaker mungu anawaonaMkuu miti ya mbao unajua utaivuna baada ya muda gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipanda miti yangu2010 mbegu moja hivi.....bado kama miaka2 nivune.....sasa utaishije kama utaacha kazi.....motivational speaker's watakuponza.
Mi nakushauri piga moyo konde endelea kupambana atakuja mwingine mambo yanaweza kuwa mazuri,ilawewe kopa kwa malengo
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Yaani hapa ni kuchagua "saccoss" ndio wenye uwezo wakuongeza mishahara, kama sasa hivi kwenye saccoss tunalipwa 1m kwa wanachama wa chini kabisaUmeongeza familia tofauti na ulivyoajiriwa lakini hakuna nyongeza ya mshahara na wategemezi wameongezeka lakini mtu mmoja hajali wengine waliye chini yake katika uongozi wake kuwa wafanyakazi wa serikalini ndio wasaidizi wake kwenye swala la maendeleo ya nchi
Huu ndio uamuzi ambao tunauhitaji kipindi hiki,Safi sana mtumishi mungu akutangulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihusishe mikopo yako ya hovyo na raisi wetu mpendwa Dr. John Joseph Pombe Magufuli