Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Unachosema ni nini sasa?Kichwa kinajieleza.

Usiseme kafa bana ,sema ametutoka au amefariki mungu amlaze pema peponi.Usilime miti ya mbao. Lima miti ya matunda. Kuna miti baba yangu aliipanda mwaka 2,000. Kafa kaiacha mimi ndio nimeivuna majuzi. Miti ya matunda in 4 yrs unaanza kuvuna on a continuous basis.
Asipo kunyima mshahara atakuteka!.Kichwa kinajieleza.
Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti.
-Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada
-Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara ilikuwa inabamba tar za mshahara tu.
-Nilikopa 1M kwaajili ya kilimo, nacho kikagoma kunipa faida. Hii ilitokana na kuzuiliwa kwa wanunuzi wa mazao kutoka nchi Jirani ambao walikuwa wakinunua kwa bei nzuri zaidi ya walanguzi wa ndani.
Sasa siwezi kukopesheka pesa nyingi kulingana na mshahara wangu.
Naishi maisha ya chini utadhani si mtumishi wa umma. Nategemea posho na mishemishe za mjini. Mshahara nachukua kiduchu.
Kama Magufuli ataendelea basi mwakani nitakopa M.4 nikajichimbie ndani huko nilime miti ya mbao. Within 6 yrs watumishi wenzangu nitawatafuta niwape back up.
Tumia neno "wako",Usihusishe mikopo yako ya hovyo na raisi wetu mpendwa Dr. John Joseph Pombe Magufuli