Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #101
Usijibu kirahisi. Kwenda Marekani ni hiyari ya mtu kama kuwa mzinzi. Kama Marekani ni nchi ya Kishetani Makanisa, Misikiti na Masinagogi yaliyoko kule kazi yake ni nini??Jiulize ni kwanini watu wanapenda sana mambo ya kishetena. Hata wewe huo uzinzi unaoupenda ni Shetani huyo. Shetani huvutia ilimradi tu atimize huo ushetani wake
Kwa hio unamaanisha kwamba sisi ndio mashetani wekundu Manchester United seven week non stopAngalia ripoti yetu ya CAG na report zao , ndo utagundua nchi ipi Ni ya kishetani.
hahaha comment yako itengenezewe fremu iwekewe na maua kabisaAngalia ripoti yetu ya CAG na report zao , ndo utagundua nchi ipi Ni ya kishetani.
Kuabudu Ila usisahau makao makuu ya kanisa la shetani yapo Marekani New York CityKama Marekani ni nchi ya Kishetani Makanisa, Misikiti na Masinagogi yaliyoko kule kazi yake ni nini??
Lakini si kila mtu Marekani ni mtu wa shetani na jee kwenye hizo nchi "takatifu" zinazofuata maadili hakuna watu wa shetani pia??Kuabudu Ila usisahau makao makuu ya kanisa la shetani yapo Marekani New York City
Sio kila mtu.Kila mtu anatamani kuishi [emoji631]na haipingwiiiiiiiiii.
Tuanze na ya kwetu ni ya nani ?Lakini si kila mtu Marekani ni mtu wa shetani na jee kwenye hizo nchi "takatifu" zinazofuata maadili hakuna watu wa shetani pia??
Eee kumbe Ila hapo umeniacha kwenye access ya kufika huko umepewa Serikali ya US auSio kila mtu.
Mimi sina ndoto ya kufika state na sijawahi kutamani licha ya kuwa na access ya kufika huko.
NB: Hakuna nchi ya kishetani wala ki Mungu.
Kukurahisishia kuzungumzia access ninamaanisha uwezo wa kufika huko hata kwa kutembea na kuishi.Eee kumbe Ila hapo umeniacha kwenye access ya kufika huko umepewa Serikali ya US au
Aaaha hapo nimekuelewa mkuu,Kukurahisishia kuzungumzia access ninamaanisha uwezo wa kufika huko hata kwa kutembea na kuishi.
Kama ilivya Canada kwa sasaKutawaliwa na Uingereza siyo neno sahihi. Sahihi ni Marekani ilikuwa sehemu ya Uingereza hasa yale majimbo 13 ya mwanzo.
Ukisoma vizuri siyo mimi mwenye sifa ya kutoa hizo sifa za utofauti. wapo watu ndiyo kila siku wanasema kwamba Marekani ni nchi ya Kishetani. Kwamba nchi yetu ni ya nani siyo lengo la bandiko hili.Tuanze na ya kwetu ni ya nani ?
Hapàna kabla hatujafika Marekani tuanzie kwetu nimesikia zile Pesa za wajasiriamali billion 88 watu wamezitumbua bila uoga, kwa hio sisi ni wa Nani?Kwamba nchi yetu ni ya nani siyo lengo la bandiko hili.
Nenda kwenye madangulo na night club utajua jinsi Shetani anavyofanya kazi.Usijibu kirahisi. Kwenda Marekani ni hiyari ya mtu kama kuwa mzinzi. Kama Marekani ni nchi ya Kishetani Makanisa, Misikiti na Masinagogi yaliyoko kule kazi yake ni nini??
Ndoa za jinsia moja zilianza kualalishwa marekani. Ndio maana ninaiita nchi ya kishetaniNenda kwenye madangulo na night club utajua jinsi Shetani anavyofanya kazi.
Tatizo lako watu wanatoa maoni yao halafu unachukia, inaonyesha upo bias ktk bandiko lako hilo, unataka comments zinazokufurahisha wewe
Ndoa za jinsia moja zilianza kualalishwa marekani. Ndio maana ninaiita nchi ya kishetaniNenda kwenye madangulo na night club utajua jinsi Shetani anavyofanya kazi.
Tatizo lako watu wanatoa maoni yao halafu unachukia, inaonyesha upo bias ktk bandiko lako hilo, unataka comments zinazokufurahisha wewe