Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Kwa mfano mimi huwezi nambia saa hii nikaishi marekani sitakuelewa maana kwa niliyoyaona yakiendelea na lifestyle yao inatosha kusema hakuna taifa pale ni takataka.
Ndio maana nawaambia hawa vijana Marekani sio dream country ya kila mtu.
Wengi tu wamefika US wakaona hapafai wakasepa..
 
Kwa hili hata uzao wa mudi na Pro - Russia wanakuwa wapole tu...
Huwezi kusikia hata mmoja wao anatamani kuhamia Afghanistan, Urusi, Iran, North Korea, nk😁
 
Fursa za kiuchumi zinawapeleka huko 'States'.
 
Huwa natamani sana yale mafukwe yanayooneshwaga kwenye video sijui ni Brazil au Jamaica sio siri huwa yananishawishi sana hakika watu wanastarehe
Halafu sasa pasafii,watu wasafii dah afu kila mtu na habari zake mwenye bukuta hayaa,mwenye kyupii twendee yaani hakuna umaarufu kila mtu anahesabu sekunde,dakika,masaa anatamani asizeekee ili aendelee kuyafaidi hayo.
Sisi huku tutaishiaga kulike,kucoment na kushea tuu pia kusubukribe😅😅😅🤣
 
Aaasante
 
Unakuta wale swala tano kabisa,wanatamani kwenda kuishi marekani,najiulizaga kwanini hawatamani iraq, Syria,Iran kwenye dini na sheria kali
 
Wewe mzee , shetani ana wafuasi wengi kuliko wale wa Mungu , mbona logic ndogo sana
 
Unakuta wale swala tano kabisa,wanatamani kwenda kuishi marekani,najiulizaga kwanini hawatamani iraq, Syria,Iran kwenye dini na sheria kali
Syria na Iraq hakuna dini wala sheria kali ni secular state hizo acha kuchanganya mambo, kuhusu Iran angalau ila pia ni secular state
 
watu wanafuata fursa za kifedha, uasi wao wenyewe sisi tunafuata vibunda mwaisa. uende mataifa ya kumcha Mungu tutakula nin
 
sasa kama unajua ananguvu sibola umtumikie kwanini unatumia njia ndefu wakati fupi unayo
Kwahiyo unajaribu kuniconvice mimi sio, kisa uko addicted. Haahah! Hivyo vitu ni kwa ajili ya wafuasi wa shetani sio mimi.
 

Marekani ni nchi nzuri saaana, ndo maana inatupiwa mawe, mfano wa mti wenye matunda matamu hutupiwa mawe sana! Pili Marekani ni nchi yenye fursa(opportunities) lukuki, ndo maana binadamu kutoka pande zote za dunia hukimbilia huko!!nchi dhalimu ni Afghanistan, Iran, Russia(superpower inadiriki kuvamia nchi huru(sovereign and independent nation) Ukraine na kufanya jimbo lake! Nitoa mfano mitatu tu ya nchi dhalimu duniani. Marekani ni pepo ndogo duniani. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…