Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Unakuta wale swala tano kabisa,wanatamani kwenda kuishi marekani,najiulizaga kwanini hawatamani iraq, Syria,Iran kwenye dini na sheria kali
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
watu wanafuata fursa za kifedha, uasi wao wenyewe sisi tunafuata vibunda mwaisa. uende mataifa ya kumcha Mungu tutakula nin
Utakula utakatifuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio hao wanaenda kuwa homeless huko na kujuta kukimbilia
Homeless wengi Marekani ni Wamarekani wazawa! Wageni ni wachache sana.
Wengi ni Wamarekani watumia madawa ya kulevya aka mateja, wengine wameathirika kisaikoloji(mental case), wengine walifanya maovu huko nyuma so wana record chafu, na wengine wamejiamulia tu kuwa homeless.
 
Wewe ndio hujui wanaokimbilia huko wengi ni wale wenye hulka za kishetani pepo ipo Africa



Kwa hiyo wanaoswali msikiti huu wana Hulka ya Kishetani? Mimi ni Mkristo, jamaa zangu wengi wana swali msikiti huu.....Uko pembezoni mwa jiji la Dallas, Irving.....Uwe unaandika unachokijua.....!!! Kuna jamaa mmoja Mwarabu ana biashara na magari ya kukodi, katika watu waungwana niliowahi kukutana nao maishan ni huyu jamaa, anaswali msikiti huu....jamaa ni msaada mkubwa kwa watu ambao wanaanza maisha US......
 
Si hata bar na night club zinajaza sana kuanzia ijumaa hadi jpili kuliko misikiti na makanisa
 
Ure mseto wa brack america na wazungu umereta unyamwezi mwingi pare marekani.unyama sana kure.naota kuchanga era za tofari niende kure fluorida
 
Kama unataka kujilipua kwenda huko ni simple tu kama unataka kwenda US tafta dume au jike mwenzio then mjifanye ni LGBT mkifika ubalozi mnasingizia mnataka kukimbia nchi kwasababu za kiusalama kwamba mnapata vitisho juu y usalama wenu.
 
Hata Sergey Lavrov's Waziri wa mambo ya ndani wa Russia juz juzi alipapatua Visa ya kuingia US kwenye mkutano wa UN, US walielekea kumnyima akalalamika sana maamae.,
 
Mashetani lazima watamani kwenda kuishi nchi yao halisi ya mashetani
 
Hata Sergey Lavrov's Waziri wa mambo ya ndani wa Russia juz juzi alipapatua Visa ya kuingia US kwenye mkutano wa UN, US walielekea kumnyima akalalamika sana maamae.,
Lavrov kabadilishwa wizara lini? UN sio taasisi ya marekani so hapaswi kuwanyima watu visa kuhudhuria shughuli za UN kisa Hq iko kwake. Ni uhuni tu. Leo Italia hawezi kueleweka kama kwa siasa zakd za kishamba ataamua kuwanyima makadinali visa kuingia Vatican au Saudia awanyime visa mashehe wanaopaswa kuingia Macca. Tuwe rational tusiwe tunatetea vitu vya ajabu
 
Kama unataka kujilipua kwenda huko ni simple tu kama unataka kwenda US tafta dume au jike mwenzio then mjifanye ni LGBT mkifika ubalozi mnasingizia mnataka kukimbia nchi kwasababu za kiusalama kwamba mnapata vitisho juu y usalama wenu.
Hii njia nzuri sanaaa, tatizo huko unafikia wapi na uta survive vipii. Lol
 
Shetani anapendwa sana mkuu.
Au wimbo wa Bahati Bukuku hujawahi kuona video yake?
 
Kwasababu mnakuwa huru kuwa machoko
 
Shetani siku zote ana vishawishi ndio maana alimjaribu Yesu kwa kumwahidi kumpa Mali na utukufu wa dunia
 
Mkutano wa UN unaweza fanyika nchi yeyote ukipangwa., wewe fahamu alinyimwa visa akalalamika sana pia ufahamu tokea urusi ameekewa vikwazo hakuna kiongozi wa US wala Ulaya aliyeonyesha interest ya kuingia Russia sababu si nchi ambayo ulimwengu inaihitaji ndio maana Russia wanapapatua visa kuingia US.

Urusi wana umoja wao unaitwa BRICS kwanini hawafanyi vikao vyao huko Brazil, India na South Africa nchi yenye mgao wa umeme wanangangania Visa za kuingia US??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…