Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

Nchi za nje zipo nyingi hata Burundi ni nchi ya nje ila kiwanja ni kimoja tu duniani- USA. The most powerful nation, the highest GDP, etc etc.

Kila mtu ndoto yake ni kufika kiwanja.
 
Mfano wa mambo gani uliyoyaona yanaendelea huko na lifestyle gani yao imekufanya kusema hilo taifa ni takataka?
Kwa mfano mimi huwezi nambia saa hii nikaishi marekani sitakuelewa maana kwa niliyoyaona yakiendelea na lifestyle yao inatosha kusema hakuna taifa pale ni takataka.
 
Hakuna haja ya kuikimbilia nchi yoyote. Mbona tz inatosha sana. Kitu gani kinachokuambia ukienda marekani utakuwa na maisha mazuri sana?
Basi nina ushahidi wa wananchi wa nchi mbalimbali wakifa wanakimbilia Marekani unayoita nchi ya kishetani
 
Mfano wa mambo gani uliyoyaona yanaendelea huko na lifestyle gani yao imekufanya kusema hilo taifa ni takataka?
Mfano wa mambo gani uliyoyaona yanaendelea huko na lifestyle gani yao imekufanya kusema hilo taifa ni takataka?
Ukimuelewa Mama wa rafiki yako unamwagia swaga au mistari... kiufupi unamtongoza. Na yeye bila kusita kama kakuelewa anakuwa demu wako na mzigo unamla kama kawa non-stop, mkinogewa mnaoana na mshkaji wako au rafiki yako anajua na hakuna noma!

Moja ya vioja vya Marekani na mataifa ya Ulaya 😊👍🏾
 
Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi.

Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye "Ustaarab" au za "wacha Mungu" kuliko harakati zinazofanywa na watu kwenda kuishi Marekani. Kwa nini watu wanang'ang'ania kwenda kwenye nchi inayoitwa ya kidhalimu?
Ni chuki tu (makasiriko) wala hakuna ukweli wowote.
 
Mi navyojua hata mitaani ukisikia mtu katika stori anakuambia habari za "mambele" huwa hamaanishi China, Urusi, Korea, india, Uk, wala Mexico

Hapo ni Marekani inakusudiwa.

Hata mtu akiwa yuko positive kwa kila jambo utasikia "fulani ni mzungu sana" yani huo uzungu haumaanishi huyo mtu amefananishwa na mfaransa sijui au nani... hapo ni MMarekani

Hata slang, lifestyle watu wanaangalia Marekani wanafanya nini.

Hata wasanii wetu wa hapa hawafanyi mziki kwa kumuangalia msanii fulani maarufu wa China, Urusi, Korea, India ili awe motivated au kama role model wake

Marekani ndio inspiration nation karibia kila Carrier, mapungufu yao kwenye maswala madogo madogo ya ushoga yasiwe sababu ya watu kushindwa kuusema ukweli ambao unaonekana dhahiri.

Kulikuwa na wahindi na wachina walikuwa wanajifanya wao wame-stick kwenye utamaduni wao

Hapa ni mchina akiwa na vazi lake la kiasili ambalo ndio walikuwa wabishi kujifanya watunza misingi

1681732415271.png


Angalia saizi
1681732593993.png

Na ndio maana hata Bruce Lee alienda kuishi Marekani, aliona home ni miyeyusho

Wahindi ndio kabisaaa kama ulikuwa unafatilia hata zile nyimbo zao kwenye movies wanazoigiza saizi ni tofauti na za miaka ile.

Kumekuja na evolution yenye taste mpya ya kimarekani ambapo humo na rap zipo, hiyo ni department ya sanaa ya upande wa nyimbo tu, ila kuna mengi.

Na ndio maana Mkorea kaskazini akaona bila kutumia nguvu ya ziada kuweka sheria ngumu hapa baada ya miaka kadhaa nitakuwa natawala Taifa ambalo lina falsafa zote za kimarekani.

Na ndio maana akapiga marufuku uvaaji wa jinsi ya blue. Lakini baadaye alipoona hata hizi rangi nyingine nazo zimekuwa zikivaliwa sana akaamua nazo apige marufuku totally.

Nchi yetote ambayo raia wakapewa uhuru bila sheria za kuwabana wote wata adapt culture ya kimarekani.

Ukiona nchi raia wanaishi katika lifestyle tofauti na ya Marekani ujue kuna sheria kali imesimikwa na wala sio jambo la kuwapa pongezi raia kuwa wamekubali asili yao kwasababu wameshurutishwa kuishi hivyo.
 
Back
Top Bottom