Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Yeye kujiita MUNGU ni kosa? Kama watumishi wanafanya mambo ya hovyo mara Saba ya huyu
 
Nchi hii mara ni secular state, mara hawataki watu wajiite miungu yaani haieleweki!

Na Kabudi alipomuita Magufuli 'mheshimiwa mungu' hakuna aliyemsumbua yeye wala huyo mungu wake
Hahaha mungu amefariki
 
Uzi wa ma atheist huu, hapa tutabishana kutafutiana njaa tu ilihali wengine tumeshapata dinner safi kabisa 🤒
 
Kuna mwingine anauza kifusi Kwa mgongo wa udongo WA upako na aguswi
 
Hivi ni kweli huyo Kabudi ameshawahi kumwita Magu ni mungu? Mwenye hiyo clip basi apost nipate kuthibitisha uzwazwa wa huyu Mzee 😂😂
 

Hawamiamati kwa kosa Hilo!
 
Hivi ni kweli huyo Kabudi ameshawahi kumwita Magu ni mungu? Mwenye hiyo clip basi apost nipate kuthibitisha uzwazwa wa huyu Mzee 😂😂
Watu wenye kusema hivyo hupotosha tu maksudi ila kilichotokea ni ulimi hauna mfupa na alisahisha palepale ila watu wameshikilia kama Kabudi alikusudia kusema hivyo. Ni sawa na Mbowe aliwahi kutamka akisema "ccm wenzangu" akiwa jukwaani ila watu walijua hakukusudia ulimi tu hauna mfupa.
 
Pumba na mchele zitajitenga
 
Akikwambia hata Yesu alipitia hiyo hali utajibu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…