Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Kwani mtu akisema yeye ni mungu,shetani,Pepo,mzimu,kibwengo au msukule nyie polisi inawahusu nini?
Kamateni majambazi,vibaka,magaidi nk
 
Ni makanisa mangapi hapa tanzania hayana usajili na yanaendelea na kazi kama kawa ?
 
Kwani mtu akisema yeye ni mungu,shetani,Pepo,mzimu,kibwengo au msukule nyie polisi inawahusu nini?
Kamateni majambazi,vibaka,magaidi nk
Badala kututafutia mdude mnatuletea stori za akina zumaridi hapa
 
Hakuna tatizo lolote, kunatofauti gani watoto kumfuata mungu wanaemuona (zumaridi), na kumfuata mungu wasie muona (wa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu)???
Hapo Sasa ndiyo utaiona Dunia ilivyojaa unafiki
 


Asianzishe mambo ya Kibwetele hapa kwa visingizio apelekwe Mungu halisi mahakamani.

Tunapoanza kudanganya watoto, lazima polisi wachukue hatua kali.
 
Mambo ya kibwetele usituletee hapa hata hizo dini zilizisajiliwa na nyie mnaziamini na kuona dini za kiafrika ni ulimbukeni angalieni Leo mashoga wengi ni viongozi wa hayo makanisa yenu makubwa
 
Huyo zumaridi inatakiwa atulizwe acheni Ujinga unanfahamu Mchungaji Kibwetele wakifa watu italaumiwa serikali ya zumaridi achana nayo Acha serikali ifanye kazi sometimes
 
Asianzishe mambo ya Kibwetele hapa kwa visingizio apelekwe Mungu halisi mahakamani.

Tunapoanza kudanganya watoto, lazima polisi wachukue hatua kali.
Mbona hizo dini wanazagamuana wanaume kwa wanaume na hamsemi ni kibwetere
 
Huyo zumaridi inatakiwa atulizwe acheni Ujinga unanfahamu Mchungaji Kibwetele wakifa watu italaumiwa serikali ya zumaridi achana nayo Acha serikali ifanye kazi sometimes
Hayo makanisa ambayo unahisi yako salama mungu WENU amewahi kujitokeza hadharani ? Hakuna Cha kibwetere Wala Nini ni chuki za kidini tu
 
Hilo sio kosa ndivyo anavyojitambulisha huo ndiyo utambulisho wake hao watoto wana wazazi ujue huko majumbani wazazi wa hao watoto wanaamini Zuma ni mungu
 
Polisi wanatia aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…