Uhuru wa kuabudu hauongelei asilimiaMimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Hakuna anayeharibu tamaduni ya mtu ila mtu ndiye huwa anaiharibu mwenyewe kwa kujifanya anafanana na mimi.Tatizo lenu mnaharibu tamaduni zao
Najua wewe ni mzanzibar ila ulichoandika ni upotofu juu yangu, mimi sijaandika ulichoni_quote.Huu.muungano mnaulazimishs TU wabara, wazanzibari hata hawautaki.
Changamoto zake ndo hizi hizi za kuwaalibia ustaarabu na utamaduni wao.
Unalalamika wamekalia itikadi za kiarabu, ila unasahau kwamba kiarabu na uislamu Ni samaki na maji
Si wanawaongezea mapato wazanzibari kwa kulipia hizo boti zenu .Sioni shida.Makanisa wanajenga Zanzibar, waumini Wana "import" kutoka Bara. Week end ukichelewa kidogo unakosa tiketi za boti.
Kanisa la Roman na Mkunazini yamekoswa koswa Sana kuripuliwa kwa mabomu..Sana na ndio maana mpaka kesho Kuna uliinzi wa Hali ya juu..!Zanzibar kuna makanisa mangapi? kanisa kubwa kabisa la kihistoria lipo zanzibar na halijabomolewa... Kwanini libomolewe hilo???
Wengine pia hawapendi kuamshwa na adhana ya saa kumi na moja kila siku asubuhi ila wanavumilia tu. Wewe pia uvumilie hizo kelele za siku mbili kwa wikiKuna makanisa mtaani zaidi ya 6 moja limezidi kelele kuna siku nimechungulia ndani wapo wawili tu ila hizo kelele nje kama wapo million 2[emoji51][emoji51]
Hiyo ni nature inategemea eneo na eneo ni ngumu kukuta misikiti mingi Italy au makanisa mengi misri zanzibar asilimia kubwa ya wakazi wake ni waislamu hivyo ni vitu vinatokea sehemu nyingi
hasa kwenye sehemu zenye misingi ya dini moja yenye nguvu hawajafanya kitu sahihi japo upande wa pili wanapenda kujiona superior na kila kitu wanastahili wao nchi hii ukitofautiana nao kidogo wanasema wanaonewa.
Adhana haina makelele ya kumfanya mtu aone kero ila haya kila siku masaa 24 ni nyimbo za kuabudu ni kero makanisa ya kilokole sio siku mbili kila siku wanalia kinachowaliza hakijulikani π¬πππWengine pia hawapendi kuamshwa na adhana ya saa kumi na moja kila siku asubuhi ila wanavumilia tu. Wewe pia uvumilie hizo kelele za siku mbili kwa wiki
RubbishNdio maana siku zote nasema hako ka kisiwa kana laana na wengi wao wana mapepo ndio maana hawapendi makanisa
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu,Shida ya hawa ndugu zetu wakiwa ugenini wanataka kushurutisha kilazima wenyeji waifate Imani yao, kwao hawataki mtu aje na Imani yake .. Sasa hapa nimeamini kwanini Myanmar wale mabudha waliamua kuwafurumusha.
Watakua wakristo wa kuchovya wenye asili kutoka bara hao[emoji4]Wewe upo dunia gani sheikh ? Wazinzibar wakristo mbona wapo wengi tu
Hata huku majority ni waislamuWao pia waondoke huku?
Nyie mna ushenz wa wapWazanzibar wana ushenzi wa kiarabu
Mambo mengine siyo ya kulazimisha. Siku hizi kuna baadhi ya watu wanapata mihemko na kuamua kugeuza kiwanja kuwa kanisa.Kwa mujibu wa huyo mchungaji wa hilo Kanisa, anasema aliwahi kuomba eneo la kujenga kanisa kwa mamlaka husika kwa miaka mingi bila mafanikio (na kiuhalisia hayo maeneo kwa Zanzibar hayapo na hata yangekuwepo huenda taasisi za kanisa zisipewe)
To declare interest,Hiyo kero mbona hamkuilalamikia miaka yote 600 iliyopita kabla ya kuja dini yenu hiyo?
Afu mungu gani anaruhusu mpigane ilihali mwenyewe kakaa pembeni tu anashuhudia gemu?
Huwa mnapeleka wapi ubongo kufikiri nnje ya boksi badala ya kutumia maamuzi ya kipumbavu namna hiyo?
Kwanini Wakristo hawatumiagi mabavu kupambana na asiyeupenda ukristo, unadhani hawana hayo mabavu?
Kule Afrika ya kati kilitokea nini?
Hinduism, Buddhism, Paganism, Christianity na ninyi Muslims yani kila dini iishi kwa upumbavu kama huo wa huko Zanzibar, dunia itakalika hii?
Kipind yanajengwa kote uko kulikua maporini bwashee[emoji4]St. Joseph,
St. Peters
Yapo maporini??