Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Mimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Uhuru wa kuabudu hauongelei asilimia

Unasema kila mtu ana uhuru wa kuabudu awe mmoja au wengi

Hata awe mmoja ana uhuru wa kuwa na sehemu ya kuabudia
 
Huu.muungano mnaulazimishs TU wabara, wazanzibari hata hawautaki.
Changamoto zake ndo hizi hizi za kuwaalibia ustaarabu na utamaduni wao.
Unalalamika wamekalia itikadi za kiarabu, ila unasahau kwamba kiarabu na uislamu Ni samaki na maji
Najua wewe ni mzanzibar ila ulichoandika ni upotofu juu yangu, mimi sijaandika ulichoni_quote.

Hilo ndilo tatizo la hisia, yaani unakurupuka kabla ya kumuelewa mtu, sorry.
 
Makanisa wanajenga Zanzibar, waumini Wana "import" kutoka Bara. Week end ukichelewa kidogo unakosa tiketi za boti.
Si wanawaongezea mapato wazanzibari kwa kulipia hizo boti zenu .Sioni shida.
 
Huyo aliyejenga kanisa huko Zanzibar ilitakiwa achapwe viboko hamsa hatutaki Uzimaridi Zanzibar
 
Kuna makanisa mtaani zaidi ya 6 moja limezidi kelele kuna siku nimechungulia ndani wapo wawili tu ila hizo kelele nje kama wapo million 2😬😬
 
Zanzibar kuna makanisa mangapi? kanisa kubwa kabisa la kihistoria lipo zanzibar na halijabomolewa... Kwanini libomolewe hilo???
Kanisa la Roman na Mkunazini yamekoswa koswa Sana kuripuliwa kwa mabomu..Sana na ndio maana mpaka kesho Kuna uliinzi wa Hali ya juu..!

Mengi tu yameharibiwa vibaya..

Kujenga kanisa sehemu wanazoishi waislamu inaleta shida maana Sharia haikubali Hilo!
Labda tu kuwe na mchanganyiko Kama bara... ..

Kubwa Ni kujifunza kuvumiliana kitu ambacho Ni kigumu.. Mila ..desturi tamaduni .elimu ...vingi tu vinachangia..!
 
Hiyo ni nature inategemea eneo na eneo ni ngumu kukuta misikiti mingi Italy au makanisa mengi misri zanzibar asilimia kubwa ya wakazi wake ni waislamu hivyo ni vitu vinatokea sehemu nyingi

hasa kwenye sehemu zenye misingi ya dini moja yenye nguvu hawajafanya kitu sahihi japo upande wa pili wanapenda kujiona superior na kila kitu wanastahili wao nchi hii ukitofautiana nao kidogo wanasema wanaonewa.
 
Kuna makanisa mtaani zaidi ya 6 moja limezidi kelele kuna siku nimechungulia ndani wapo wawili tu ila hizo kelele nje kama wapo million 2[emoji51][emoji51]
Wengine pia hawapendi kuamshwa na adhana ya saa kumi na moja kila siku asubuhi ila wanavumilia tu. Wewe pia uvumilie hizo kelele za siku mbili kwa wiki
 
Misri ina Wakristo wa Coptic takribani milioni 20 na makanisa yako mengi.
Hiyo ni nature inategemea eneo na eneo ni ngumu kukuta misikiti mingi Italy au makanisa mengi misri zanzibar asilimia kubwa ya wakazi wake ni waislamu hivyo ni vitu vinatokea sehemu nyingi

hasa kwenye sehemu zenye misingi ya dini moja yenye nguvu hawajafanya kitu sahihi japo upande wa pili wanapenda kujiona superior na kila kitu wanastahili wao nchi hii ukitofautiana nao kidogo wanasema wanaonewa.
 
Wengine pia hawapendi kuamshwa na adhana ya saa kumi na moja kila siku asubuhi ila wanavumilia tu. Wewe pia uvumilie hizo kelele za siku mbili kwa wiki
Adhana haina makelele ya kumfanya mtu aone kero ila haya kila siku masaa 24 ni nyimbo za kuabudu ni kero makanisa ya kilokole sio siku mbili kila siku wanalia kinachowaliza hakijulikani 😬😂😂😂
 
Shida ya hawa ndugu zetu wakiwa ugenini wanataka kushurutisha kilazima wenyeji waifate Imani yao, kwao hawataki mtu aje na Imani yake .. Sasa hapa nimeamini kwanini Myanmar wale mabudha waliamua kuwafurumusha.
Kabisa mkuu,
Dini ikikolea Sana inakwenda kuvuruga kabisa ustaarabu wa watu kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa huyo mchungaji wa hilo Kanisa, anasema aliwahi kuomba eneo la kujenga kanisa kwa mamlaka husika kwa miaka mingi bila mafanikio (na kiuhalisia hayo maeneo kwa Zanzibar hayapo na hata yangekuwepo huenda taasisi za kanisa zisipewe)
Mambo mengine siyo ya kulazimisha. Siku hizi kuna baadhi ya watu wanapata mihemko na kuamua kugeuza kiwanja kuwa kanisa.

Hafuati hata utaratibu uliopo, hafanyi usajili, anawaaminisha waumini wake wakusanye miti na mabati chakavu, kisha ananunua spika anaanza mahubiri.

Hii tunaita vurugu. Hata nyumba ya kuishi tunafuatilia vibali, sembuse makanisa ambazo ni taasisi zinazoheshimika.

Tuwapuuze hawa watu wasiopenda kuwa civilised.
 
Hiyo kero mbona hamkuilalamikia miaka yote 600 iliyopita kabla ya kuja dini yenu hiyo?

Afu mungu gani anaruhusu mpigane ilihali mwenyewe kakaa pembeni tu anashuhudia gemu?

Huwa mnapeleka wapi ubongo kufikiri nnje ya boksi badala ya kutumia maamuzi ya kipumbavu namna hiyo?

Kwanini Wakristo hawatumiagi mabavu kupambana na asiyeupenda ukristo, unadhani hawana hayo mabavu?

Kule Afrika ya kati kilitokea nini?

Hinduism, Buddhism, Paganism, Christianity na ninyi Muslims yani kila dini iishi kwa upumbavu kama huo wa huko Zanzibar, dunia itakalika hii?
To declare interest,
Mimi Ni mkristo Safi,tena by birth, Tena Roman Catholic. Kutokea tz bara.

Kwaiyo ukiwa unajibu,
Jitahidi jikite kwny hoja na sio personal.

Pia zingatia Hilo nilodeclare hapo juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom