YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uhuru wa kuabudu hauongelei asilimiaMimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Unasema kila mtu ana uhuru wa kuabudu awe mmoja au wengi
Hata awe mmoja ana uhuru wa kuwa na sehemu ya kuabudia