Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Ninakumbuka yule aliykanyaga quruan Kilosa alishughulikiwa haraka sana. Ila kubomolewa kwa kanisa si tatizo.

Makanisa yanapiga kelele ila yale mavipasa sauti ya msikitini siyo tatizo.

Iko siku kisasi kitalipwa.
Sio tena ukipigwa shavu la kulia mgeuzie na la kushoto?
 
Hoja kwamba makanisa yasijengwe kwenye makazi ya watu haina mashiko maana waumini ni watu na sio rahisi kupeleka huduma mahali ambapo hakuna watu.

Wakijenga maporini huko kuna wanyama na sio watu.
RC mara nyingi wanajenga maporini. Mfano Machui, Tomondo na hata Jumbi at that time.
 
Shida ya hawa ndugu zetu wakiwa ugenini wanataka kushurutisha kilazima wenyeji waifate Imani yao, kwao hawataki mtu aje na Imani yake .. Sasa hapa nimeamini kwanini Myanmar wale mabudha waliamua kuwafurumusha.
 
Nishasema tangu mwanzo,
Uhuru wako wa kuabudu hautakiwi kua KERO kwa wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kero mbona hamkuilalamikia miaka yote 600 iliyopita kabla ya kuja dini yenu hiyo?

Afu mungu gani anaruhusu mpigane ilihali mwenyewe kakaa pembeni tu anashuhudia gemu?

Huwa mnapeleka wapi ubongo kufikiri nnje ya boksi badala ya kutumia maamuzi ya kipumbavu namna hiyo?

Kwanini Wakristo hawatumiagi mabavu kupambana na asiyeupenda ukristo, unadhani hawana hayo mabavu?

Kule Afrika ya kati kilitokea nini?

Hinduism, Buddhism, Paganism, Christianity na ninyi Muslims yani kila dini iishi kwa upumbavu kama huo wa huko Zanzibar, dunia itakalika hii?
 
Wewe upo dunia gani sheikh ? Wazinzibar wakristo mbona wapo wengi tu
Siyo Zanzibar tu, hata pale Indonesia ambapo ndipo kuna waislamu wengi sana kama ilivyo Vatican City Italy walipo wakristo wengi sana duniani lakini kuna waislamu, pia wapo Wakristo vile vile Indonesia.

Ni baadhi ya waislamu tu kutojitambua na kuwa na upumbavu mwingi vichwani mwao.
 
Wazanzibari wamechanganikiwa, utakuta mtu mweusi kama Msudani wa Kusini lakini anajiita ama kujifananisha na mwarabu. Very stupid people.
 
Jamaa kaonyesha mikataba ya kununua ardhi/banda lakini haoneshi kibali cha ujenzi alichopewa na serikali
 
Tatizo la waislamu majini yao hayapatani na jina la Yesu Kristo. Likitajwa wanaungua moto. Na ukumbuke waislamu wengi wanaishi na majini na wengi ndiyo chanzo cha vipato.
Heheee! Kerubi moja la zumaridi hili huku
 
Mkuu sio kujenga makanisa tu hata mtanganyika kununua na kumiliki kipande cha ardhi huko visiwani ni ndoto ya alinacha tena ukiwa mgalatia ndio usahau kabisa
Sasa huyu aliyevunjiwa kanisa mbona ni wa bara na ni mkristo?
 
Hapo ndio kutakua na shida zaidi na hujafikiria sawasawa
Una maana sehemu ambazo huku bara Kuna wakristo wengi mtaani , hakupaswi kujengwa msikiti?
Ndio wanachokofanya huko moshi, kuna sehemu ukitaka kujenga msikiti wakikubaini tu biashara imeishia hapo
 
Wale watoto wanaotolewa matunda mdrasa kila kukicha ndio unaogopa watapotoshwa?
 
Wanapotoshaje? Wewe si ushike Imani yako? Nyie huwa sijui mnawazaga vipi wenzetu
Ndio maana mkifunga ramadhani hamtaki watu wengine wale mchana, eti watawatamanisha. Wtf......??
Wajinga Sana hawa jamaa
 
Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanziba...
kuna mwenzako kaja na thread kma hii hlf akaleta updates kua Uyo alouziwa kiwanja kwenye makubaliano walisema ni kiwanja cha makazi yy akajenga kanisa wakamwambia kuhusu makubaliano akakataa na kma huyajui makanisa ya TAG ulizia vzr jinsi yanavopiga zogo usiku na mchana

Sasa usielemee upande mmoja tafuta ukweli na uhakika kwanza usijepotosha wengi kwa chuki zako na serikali.

Nawasilisha
 
Karume alifanya kosa kubwa sana kukubali huu Muungano, tamaduni za Zanzibar ziko tofauti kabisa na Tanganyika. Yeye kukubali Muungano ni sawa na kukubali kumezwa na watanganyika kiimani, kiutamaduni na kimila kwa sababu Watanganyika wapo wengi sana wakivamia Zanzibar ni rahisi sana kueneza utamaduni wao.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Uyo Mungu wenu alouliwa mbona hakuweza kujiokoa akaomba msaada kwa Mungu wake yni bora ninyamaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…