Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Kama misikiti inaweza kujengwa mitaani kwa uhuru, kwanini kujengwa kwa makanisa kuwe kero Zanzibar?

Kuna sababu sio bure.. Nadhani itakuwa ni noise pollution si unajua tena walokole FULL KUPIGA MAKELELE, MZIKI MNENE KAMA DISCO.

Makanisa ya kistaarabu kama Catholic mbona yanahudumia wakristo wa Zanzibar bila tatizo lolote tokea enzi za Sultan..?

Fundisho:
Ukienda kwa mamwinyi kuwa na ibada za kistaarabu, watu washatoka kupiga urojo, gahwa wamepumzika wewe unawapigia makelele? Wengine wanamabusha.. teh teh
Wengine wana mabusha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakumbuka yule aliykanyaga quruan Kilosa alishughulikiwa haraka sana. Ila kubomolewa kwa kanisa si tatizo.

Makanisa yanapiga kelele ila yale mavipasa sauti ya msikitini siyo tatizo.

Iko siku kisasi kitalipwa.
Usilinganishe vipaza saut vya msikitini na Yale maspika yakilokole yanayowashwa full time, full volume kwny makazi ya watu[emoji3525]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa wazanzibar ni wapuuzi Sana, 2010 niliwahi kushushwa kwenye gari zao za chai maharage bila sababu yoyote kisa tuu nimemuongelesha msichana aliyekuwa ameketi kando yangu kumuulizia kitu ninachoenda kushukia.


pia sokoni hapo darajani lijamaa limoja lilikataa kuniuzia mashine ya kukamua juisi ya miwa, mpaka nilitafuta mzanzibar akanisaidia kununua Kwa niaba yangu.
Tatizo lenu hamjastaarabika,
Hamuheshimu Mila na desturi za watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazanzibari wameukataa huu uhayawani wa makanisa haya feki.
Inashangaza huku Bara mtaa mmoja kuna makanisa matano!
Makanisa ni mengi kuliko waumini,matokeo yake ni makelele tu mitaani.
Kingine majority ya Wazanzibari ni waislam na huu ni ukweli ulio wazi.Hatuwezi kulazimisha Wazanzibari waishi kinyume na Utamaduni wao.

Jambo linalonishangaza Zanzibar,Sheria hizi na tofauti za Utamaduni haziwabani WAZUNGU kufanya watakavyo.
Mwezi mtukufu ukiwa na Ngozi nyeusi huwezi kula mahala popote Zanzibar,hata hoteli za nyota tatu au nne nilizowahi kutembelea nilinyimwa hata kuuziwa soda tu!
Lakini wazungu wanapata ulabu bila wasiwasi!.This is tantamount to slavery!

Tupo kwenye “Nchi” yetu lakini unabaguliwa na Mzungu wanamtukuza!
Beach wazungu wanakaa uchi lakini mtaani Mwanamke aliyeumbika akivaa nguo wao wanayoiona sio sahihi wanampiga na kumdhalilisha!
Sielewi mantiki yake!!.
Wazanzibari wana mambo ya ajabu sana,inahitaji moyo kuishi nao vizuri,unahitaji kuwa zaidi ya bwege ili uende nao sawa.
Ni ngumu kujifanya bwege kama wewe sio bwege,hasa ukiwa katikati ya mabwege.Bora uwe bwege kwa wenye akili.
Cha msingi tuwaache na Maisha yao.
Point[emoji4][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK OK OK enough! naona engi wanakuja hapa na kelele za kutaka Samia aingilie kati etc etc. Kwanza niwajuze suali la ardhi na majenzi haliko katika muungano kwa hivyo Samia hana ubavu katika suali la serikali ya zanzibar. Mkitaka mabadiliko kwanzabadilini katiba, muingize suali la ardhi na majenzi katika muungano, jambo ambalo hatutolikubali NG'O!!!!!

Pili duniani kote huibuki tu ukanunua kiwanja na kujenga unachotaka, ni lazima upate kibali. Kadhalika duniani kote wakaazi wa sehemu huwa wana haki ya kupinga ujenzi wa aina yeyote ile katika sehemu zao wanazoishi. Ndio maana daima kunakuwepo uwasilishwaji wa maombi na kufuatiwa consultationust kabla ya kukubaliwa ua kukataliwa kwa project yeyote ile. Just because tanzania na nchi nyingi za afrika serikali hutumia ubavu na kufanya walitakalo, haimaanishi ni kosa kwa serikali kusikiliza na kukubaliana na pingamizi za wananchi wake.

Zanzibar wananchi wake wengi ni waisilamu na hatuhitaji makanisa kila mahali. hatupingi kujengwa kwa makanisa tu, bali pia tunapinga kujengwa kwa bars na night clubs katika kila pembe ya visiwa vyetu. Kubaliana nasi au usikubaiane nasi, huo ndio msimamo wetu. Mna hiari zenu huko kwenu lakini sio kwetu.
Point[emoji4][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la waislamu majini yao hayapatani na jina la Yesu Kristo. Likitajwa wanaungua moto. Na ukumbuke waislamu wengi wanaishi na majini na wengi ndiyo chanzo cha vipato.
Rubbish
Wewe ni makerubi a. k. a zombie wa makuhani wauza maji, udongo, chumvi, keki, leso, mafuta ya uchawi wa Nigeria usietakiwa kutumia akili yako.
Ungekuwa Mwanza bila shaka ungekuwa zombie wa Mfalme Zumaridi
 
Hoja kwamba makanisa yasijengwe kwenye makazi ya watu haina mashiko maana waumini ni watu na sio rahisi kupeleka huduma mahali ambapo hakuna watu.

Wakijenga maporini huko kuna wanyama na sio watu.
 
Labda nikuukize wewe hujawahi kumuona mwanamke ukamtamani? Anaemtomba ni mwengine kwa nini unamtamani wewe? Lugha hii nadhani utaifahamu. Suali la kuzuia makanisa zanzibar ni bora ukumbuke kuwa Zanzibar nchi yetu na ni hiari yetu, tutaruhusu tukitakacho na tutazuia tusikatacho. Suali la ardhi na majenzi si la muungano kwa hivyo hamuwezi kutulazimisha tufanye tusilitakalo. Ni hiari yenu huko kwenu kuruhusu au kutoruhusu ijenzi wa misikiti. Zanzibar ni ndogo na hatuhitaji makanisa ni feki kusambaa kila kona ya bisiwa vyetu!
Nyie jamaa ndugu zangu bhana mnafurahisha kweli, kwenu hamtaki mtu aje ila cha ajabu mkienda ugenini mnaforce wenyeji wafate Imani yenu!!! Sasa hapa nimeamini kwanini Myanmar wale mabudha waliamua kuwafurumusha
 
Back
Top Bottom