Hili Swala inabidi tuliendee bila kutumia hisia,nani hajui KERO ya makanisa ya kilokole yaliyotapakaa kila Kona ya nchi hii,kwa wakazi wa Dar,pale kawe Kuna makanisa kila Kona,yamefunga maspika makubwa,yaani yakiachia mziki mpaka mtaa wa saba masikio yanauma,Hawa wachungaji wa jasiliamali wao ni kuanzisha Kanisa kila Kona na mziki usiokoma.Adhana ya waislam hai haichukui hata nusu saa,wakati ibada za kilokole ni siku nzima kuanzia saa sita na kuendelea.yule taperi mfalme zumaridi aliyekamatwa mwanza ni kwa sababu ya KERO,angekuwa amekamatwa Zenj,ingekuwa story nyingine.
Kwa Zenj,na nchi nyingi zenye wakristo kama minority group,kuwa na Kanisa au kuabudu kwa uhuru ni shida kidogo,hili serikali inabidi iliweke vzr.sasa kuhusu hilo Kanisa huko Zenj,lilijengwa kwa vibali?au ndio kama huku Bongo,yanaanzishwa kama uyoga Ili kupiga sadaka