Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Kwa nini unifahamishe dini yenu? Dini ambayo anakula mwingine anatamani mwingine?Ni shida sana kujaribu kumfahamisha mtu ambae hafahamu dini yetu na ni vigumu zaidi ikiwa anaeuliza hataki kufahamishwa bali anataka kubishana.
Sihitaji kujua, nachosema nyie hamjazuiliwa kujenga misikiti kwenye wakristo wengi na pia wakristo hakuna walipomatazwa kujenga makanisa kwenye waislamu wengi