Wazanzibari wameukataa huu uhayawani wa makanisa haya feki.
Inashangaza huku Bara mtaa mmoja kuna makanisa matano...
Acha uongo na unafiki, misikiti imejengwa toka enzi na enzi huko Kilimanjaro pasipo tatizo lolote. Kuanzia Same, Mwanga, Rombo, Moshi, Siha na Hai kote huko kuna misikiti na taasisi kubwa na nzuri za kiislamu pasipo tatizo lolote na watu wanaishi fresh sana.Ndio wanachokofanya huko moshi, kuna sehemu ukitaka kujenga msikiti wakikubaini tu biashara imeishia hapo
Makanisa hapo hadi Saudia, isitoshe Zanzibar.Mimi naona huyo jamaa aliyejenga kanisa hapo hakufanya sawa. Kwasababu asilimia 98 ya wazanzibar ni waislam. Ni hatari hata kwa maisha yake japo gharama ya ukristo ni zaidi ya uhai na mali. Kuna vitu vingine unatumia tu common sense na kupotezea.
Makanisa yanakuhusu nini wewe sheikh ?akina zumaridi nao wajenge makanisa yao. Uhuru wa kupitiliza hauna maana. makanisa yaliyopo hamjajaza mnajenga makanisa mengine ya nini
Sahii kabisa,
Ni sawa uende ukauze kiti Moto siku ya kuhiji kule MECCA ukitegemea sheria ya free trade ya umoja wa mataifa itakulinda endapo madhira yakikukuta[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unajisahaulisha kuwa hujui Zanzibar ni nchi yenye Rais wake na katiba yake?Saudi Arabia ni taifa la kidini la Kiislamu, Tanzania ni taifa lisilo na dini. Hujui haya mpaka leo?!
Kwahiyo unajisahaulisha kuwa hujui Zanzibar ni nchi yenye Rais wake na katiba yake?
Bado sijaona tatizo kuhusu makubaliano ya aliyeuza na kuuziwa, na ikiwa kuna shida basi jibu lingekuwa ni kwenye vyombo vya sheria.kuna mwenzako kaja na thread kma hii hlf akaleta updates kua Uyo alouziwa kiwanja kwenye makubaliano walisema ni kiwanja cha makazi yy akajenga kanisa wakamwambia kuhusu makubaliano akakataa na kma huyajui makanisa ya TAG ulizia vzr jinsi yanavopiga zogo usiku na mchana
Sasa usielemee upande mmoja tafuta ukweli na uhakika kwanza usijepotosha wengi kwa chuki zako na serikali.
Nawasilisha
Kumbe nna argue na mbumbumbu.Katiba ya Jamuhuri ni kuu (supreme)
Mbumbumbu ni wewe usiyefahamu Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni taifa lisilo la kidini.Kumbe nna argue na mbumbumbu.
Nani kasema Zanzibar ni nchi ya kiislamu?Zanzibar ni nchi ya kiislam, hivi ktk nchi ya vatican kuna msikiti hata mmoja tuu?
Kwani zanzibar hakuna makanisa? Iweje hilo libomolewe? Hata moshi kunasehemu jamaa alinunua eneo akataka kujenga msikiti kilimkuta kilichomkuta huyo wa znzAcha uongo na unafiki, misikiti imejengwa toka enzi na enzi huko Kilimanjaro pasipo tatizo lolote. Kuanzia Same, Mwanga, Rombo, Moshi, Siha na Hai kote huko kuna misikiti na taasisi kubwa na nzuri za kiislamu pasipo tatizo lolote na watu wanaishi fresh sana.
Mwaka juzi nilifika huko na kujionea mimi mwenyewe kwa macho yangu. Wakazi wa kule ni wastaarabu mnoo linapokuja suala la uvumilivu wa kiimani.
Sasa ngoja nikupe shule kidogo bwanamdogo. Tanzania inaundwa na nchi 2 zilizo huru kabisa. Zanzibar na Tangayika . Katika muungano yapo masuala ya muungano na yasiyo ya muungano katika uendeshaji wa serikali ( Nenda kayatafute uyasome). Suala la Tanganyika kuvaa koti la muungano siyo ticket ya kuingia zanzibar na kuharibu mila na desturi za watu wa Zanzibar. Kwanini tusijivunie utanganyika wetu kama wazanzibari wanaojivunia uzanzibari wao? Mila zetu sisi ni mchanganyiko kula kiti moto, makanisa mengi ya kina mfalme zumaridi n.k, uislam pia upo tanganyika. Lakini kwa zanzibar ni tofauti na hawataki sasa kwanini kulazimishana?Mbumbumbu ni wewe usiyefahamu Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni taifa lisilo la kidini.
Ongea na toa haja kama great thinker.Tatizo la waislamu majini yao hayapatani na jina la Yesu Kristo. Likitajwa wanaungua moto. Na ukumbuke waislamu wengi wanaishi na majini na wengi ndiyo chanzo cha vipato.
Kwahiyo unataka kusema Vatican siyo nchi?Nani kasema Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
Toka lini Zanzibar imekuwa nchi ya Kiislamu?
Nchi za kiislamu ni kama Misri, Algeria, Tunisia, Saudi Arabia (Maka na Madina) na kote huko makanisa yapo na wakristo wapo.
Vatican ni nchi ndogo sana (infact ni kasehemu tu ndani ya Italy kalikopewa mamlaka yake ya ndani) na sina uhakika utaratibu wa kidini ukoje kwa imani zingine tofauti na Ukatoliki.
Na hili ndiyo nalolikemea.Ninakumbuka yule aliykanyaga quruan Kilosa alishughulikiwa haraka sana. Ila kubomolewa kwa kanisa si tatizo.
Makanisa yanapiga kelele ila yale mavipasa sauti ya msikitini siyo tatizo.
Iko siku kisasi kitalipwa.
Mkuu unaposema hivyo unakosea.Aliyewaambia wazanzibari wanahitaji makanisa ni nani?
Wazanzibar 99% ni waislamu hata hiyo misikiti iliyopo sasa haitoshi..
Hivyo anayehitaji kujenga nyumba ya ibada Zenji ajenge Msikiti ili kuCover mahitaji sahihi.
Unajenga kanisa la Tsh mil 100 halafu waumini wawili hiyo ni wastage of resources..
Eboo..!