Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kelele zinaishia humu humu JF.Nchi itakumbwa na mafuliko? Au kimbunga? Acheni dhana potofu yote ni mchakato ya kikatiba tu! Tunataka uwajibikaji sio kuleana kwa kutuletea nadhalia zakufikirika hapa!
Umeasahau ya Lowassa na Richmond? Huu ni mfano tu. Kuwa wakiamua kutetea wananchi wqnawezaNani aliyekwisha kuitumia tangu rais Nyerere mpaka huyu Samia?.
Changamoto za kiuchumi zinashughulikiwa kiuchumi sio kisiasaKila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Siasa ndio kila kitu kwenye nchi. Tambua hilo acha ubwegeChangamoto za kiuchumi zinashughulikiwa kiuchumi sio kisiasa
We unafikir hawataki Katiba mpya kwanini? Katiba ya Warioba iliyosema Rais akipuuza kutekeleza amri ya Mahakama anaweza kuondolewa madarakani! Leo hii mbona Loliondo na Ngorongoro wangekuwa huru katika ardhi yao.Kelele zinaishia humu humu JF.
ndio maana umasikini hauishi africa kwa fikra kama zako changamoto za kiuchumi zinatatuliwa kiuchumi na sio kisiasa ni sawa tu na kumpa fundi seremala akutengenezee tv yako ni ukosefu wa maarifa na fikra za kutatua changamoto.Siasa ndio kila kitu kwenye nchi. Tambua hilo acha ubwege
Mpuuzi wewe Singida kuna mifugo gani? Arusha siyo kameMpuuzi wewe, maisha siku zote yanaendelea. Kuna wale wafugaji wa Arusha na Singida mwaka mzima miti imekauka na bado mifugo yao inaishi, huwa wanawanywesha mikojo yao hao Ng'ombe?.
Sasa kama unashindwa kuelewa kuwa siasa ni kila kitu .Mbona unapoteza muda humu?ndio maana umasikini hauishi africa kwa fikra kama zako changamoto za kiuchumi zinatatuliwa kiuchumi na sio kisiasa ni sawa tu na kumpa fundi seremala akutengenezee tv yako ni ukosefu wa maarifa na fikra za kutatua changamoto.
Kelele za Jf zilisababisha tozo za onevu za miamala ya simu zikafutwaKelele zinaishia humu humu JF.
Yaani rais aache kuhangaika na 'mambo ya maana' na kucheza na vichengelwa vyake mnataka ahangaike kusimamia hicho kitabu cha hadithi za Adili na Nduguze? Kitamsaidia nini hicho kitabu?Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Mkuu wa Nchi anayo mamlaka ya kulivunja Bunge kabla hata wabunge hawajaamua kupiga hiyo kura !!Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Watoto wanataka wamshinikize mama yao aombe talaka kwa kuwa baba kashindwa kutekeleza majukumu yake kwa familia?Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Wabunge wapi hao?Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Kwani ni wakati wa utawala upi ambao Bunge halikuwa Rubber-stamp?Mpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.
Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
Acheni wizi na kuzuia ripoti ya CAG mnaikalisha makabatini kwa kuwa wezi ni viongozi wenu huko ccmMpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.
Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
Kwa fikra hizo za kutatua masuala ya kiuchumi na kuuongoza uchumi kisiasa tegemea tu umasikini utaendelea kutamalaki tu kuna vitu ambavyo hauweki maamuzi ya kisiasa unaachia wenye professional zao wafanye maamuzi mtambuka ya kisekta wewe peleka siasa kote kwenye uchumi, kwenye elimu ,kwenye kilimo etc matokeo ni umasikini tu utaendelea kutamalaki na ndio africa ilivyo.Sasa kama unashindwa kuelewa kuwa siasa ni kila kitu .Mbona unapoteza muda humu?