Kama mtu anafika chuo kikuu na kuhitimu bila kujua kusoma na Kuandika je lengo la Elimu ni lipi hapa Tanzania?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
 
Nadhani utakuwa unazungumzia chuo cha Upendo Vocation Training Center au Eagle wing college au vyuo vinavyofanana na hivyo.
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Kupata cheti na kubaki mtaani kulialia maisha magumu hakuna ajira.
 
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Tofautisha kati ya Knowledge (gathering of information) na Experience(memorizing of information gathered and application of the same) au wisdom.

Sasa vijana wengi wana knowledge lakini wanakosa hekima.
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Kijana kwa uandishi wako tuu inadhihirisha Wewe naye ni Moja Kati hao unao wasema
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika
je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
Acha kutunga uongo bhana..
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Kuna kutokujua kuandika vizuri na kutojua kabisa kuandika na kusoma hakuna mwanachuo amalize asijue kuandika kabisaa au kusomaa kabisaaaa unadhihirisha vyuo vyetu,

Sema hawana skills za kujua kuandika vizuri kama barua ya kazi na sio hawajui kabisa
 
Cha muhimu wajue jinsi ya kubeti na ujuzi wa kuendesha vyombo vya moto kama pikipiki, maisha yatasonga
 
Sema hajui kuandika au kusoma kulingana na misingi iliyowekwa na sio kujua kusoma au kuandika kwa kuelewa na kueleweka....

Huenda hatufiki mbali kwa kujali cosmetics zaidi ya application na utendaji.... Mshika nyundo nitajali zaidi umahili wake katika kugonga misumari zaidi ya kukariri /kukumbuka kwakwe kuna aina ngapi za barua
 
Back
Top Bottom