Kama mtu anafika chuo kikuu na kuhitimu bila kujua kusoma na Kuandika je lengo la Elimu ni lipi hapa Tanzania?

Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya

Labda graduates wa kule kivukoni
 
We mwenyewe huna writing skills nzuri unachanganya capital letter hata pasipo stahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787],usiweke nongwa sana ilihali we mwenyewe ni kidonda
 
Kwamba Datkari aliyesoma miaka sita au mitano na kubobea kwenye jambo fulani la utabibu anakosa sifa za kuwa daktari kisa hajui kuandika barua?

Nimepandwa na jazba sana hapa.
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Ili tuendelee kuwa mbumbumbu !! Kazi Kweli kweli !
 
Kuna kutokujua kuandika vizuri na kutojua kabisa kuandika na kusoma hakuna mwanachuo amalize asijue kuandika kabisaa au kusomaa kabisaaaa unadhihirisha vyuo vyetu,

Sema hawana skills za kujua kuandika vizuri kama barua ya kazi na sio hawajui kabisa
Lakini,inategemea ni chuo gani?
 
Nadhani utakuwa unazungumzia chuo cha Upendo Vocation Training Center au Eagle wing college au vyuo vinavyofanana na hivyo.
Daaaaaah!! Ulivyotaja Eagle Wings umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka baada ya kumaliza masomo yangu ya O-Level nilienda pale kusoma Kozi ya Kiingereza
 
Hata kama ni chuo gani hakuna ujinga uliopitiliza hivyo,kuna system zinawabeba watu lakini ni wale wanaobebeka,sio mtu hajui kuandika na amalize chuo nyie acheni utani
Kuna vyuo mbalimbali.Kwa mfano chuo cha madrasa.Au nacho si chuo?
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Mhitimu wa chuo kikuu asijue kusoma na kuandika!? Hilo ni jambo haliwezekani hata kidogo!

Hivi unatambua sifa za mtu kuingia chuo kikuu, na hatimaye kuja kutambulika kuwa amehitimu. Unajua ni mitihani mingapi na mazoezi mangapi huwa anaipitia, na tena kwa vigezo maalum, ili aweze kuvuka kutoka mwaka mmoia wa masomo kwenda mwingine.

Labda useme kama una maana ya kuwa, wana shida kubwa katika suala zima la uandishi, fasihi na sarufi.
 
Mbona kuna mmoja alikuwa hajui kutamka,kusoma na wala kuongea kiingereza?Simtaji.😜😜😜😜
 
Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7

TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.

Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.

Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .

Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Na je mtu akiwa kichaa km wewe na bado anaishi na jamii bila kwenda kutibiwa tufanyeje?
 
A bit of exaggeration, this is not possible, college student cannot read and write!!! No. Sema like 50-60% wapo wapo tu; they cannot defend their education huko maofisini.
Kama unakataa mwambie graduate a- draft barua ya kiingereza kwenda kwa client, utashangaa.
 
Nani wakulaumiwa?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Achana na lawama mkuu. Utalaumu mpaka kaburini. Pambana na hali yako. Nani kakuambia Elimu bora inapatikana vyuoni pekee. Ukishajua kusoma na kuandika na kujifunza lugha mbalimbali za kukuwezesha kukusanya maarifa unayoyataka katika dunia hii ya utandawazi. Wewe ni zaidi ya msomi wa chuo kikuu cha bongo mwenye cheti.
 
Back
Top Bottom