nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Hatujafika huko Ila Kama mama angeendekea na sifa za "ufaulu umeongezeka" tungefika, hakuna anaebisha kuwa wanafunzi wanamaliza darasa la Saba hawajui kusoma Wala kuandika, na walifaulu darasa la nne, na wamechaguliwa secondary, mpe kipande Cha gazeti mtoto wako wa kidato cha nne, au wa jirani yako, halafu sikiliza anavyosoma, halafu njoo utoe maoni
Watoto wengi wanaofeli kidato Cha pili hawajui kusoma.
Watoto wengi wanaofeli kidato Cha pili hawajui kusoma.