DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wanaoua elimu ni wale walioko madarakanije ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato was kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
Kupata cheti na kubaki mtaani kulialia maisha magumu hakuna ajira.Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Tofautisha kati ya Knowledge (gathering of information) na Experience(memorizing of information gathered and application of the same) au wisdom.TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Kijana kwa uandishi wako tuu inadhihirisha Wewe naye ni Moja Kati hao unao wasemaAjira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Nani wakulaumiwa?Tofautisha kati ya Knowledge (gathering of information) na Experience(memorizing of information gathered and application of the same) au wisdom.
Sasa vijana wengi wana knowledge lakini wanakosa hekima.
Picha ya mtu anasoma kwa sauti au picha ya sauti mkuu?Weka picha
Acha kutunga uongo bhana..Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
Nimwendo wa kufanyiana tathminiMbona na wewe haujui kuandika!!?? Makosa ni mengi katika andiko lako.
Mleta mada amezungumzia uandishi wa barua.Mhh.....
Ufike chuo na ufaulu usijue kusoma na kuandika??
Kuna kutokujua kuandika vizuri na kutojua kabisa kuandika na kusoma hakuna mwanachuo amalize asijue kuandika kabisaa au kusomaa kabisaaaa unadhihirisha vyuo vyetu,Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Wapo wengi tu.Pitapita uwaambia waandikie neno:-Mhh.....