Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
We mwenyewe huna writing skills nzuri unachanganya capital letter hata pasipo stahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787],usiweke nongwa sana ilihali we mwenyewe ni kidondaAjira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Ili tuendelee kuwa mbumbumbu !! Kazi Kweli kweli !Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Lakini,inategemea ni chuo gani?Kuna kutokujua kuandika vizuri na kutojua kabisa kuandika na kusoma hakuna mwanachuo amalize asijue kuandika kabisaa au kusomaa kabisaaaa unadhihirisha vyuo vyetu,
Sema hawana skills za kujua kuandika vizuri kama barua ya kazi na sio hawajui kabisa
Daaaaaah!! Ulivyotaja Eagle Wings umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka baada ya kumaliza masomo yangu ya O-Level nilienda pale kusoma Kozi ya KiingerezaNadhani utakuwa unazungumzia chuo cha Upendo Vocation Training Center au Eagle wing college au vyuo vinavyofanana na hivyo.
Hata kama ni chuo gani hakuna ujinga uliopitiliza hivyo,kuna system zinawabeba watu lakini ni wale wanaobebeka,sio mtu hajui kuandika na amalize chuo nyie acheni utaniLakini,inategemea ni chuo gani?
Kuna vyuo mbalimbali.Kwa mfano chuo cha madrasa.Au nacho si chuo?Hata kama ni chuo gani hakuna ujinga uliopitiliza hivyo,kuna system zinawabeba watu lakini ni wale wanaobebeka,sio mtu hajui kuandika na amalize chuo nyie acheni utani
Picha ya sauti...?πPicha ya mtu anasoma kwa sauti au picha ya sauti mkuu?
Achana na hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni mbishi in nature [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],vyuo vinavyotuandalia vijana kuingia kwenye ajira japo tuseme hivyoKuna vyuo mbalimbali.Kwa mfano chuo cha madrasa.Au nacho si chuo?
Inahitaji mbinu sana ziitwazo "mbele mbele yao"!Picha ya sauti...?π
Ndio umeandika nini wewe mzee,huoni una'justify alicholeta mdau hapo juu.Kijana kwa andishi hii... Wewe naye si ni Moja wao......., Kuandika kwako inadhiirisha ulivyo mpuuzi
Amepunguza ukali wa konyagi kwa kuichanganya na bia bingwa?ππππNdio umeandika nini wewe mzee,huoni una'justify alicholeta mdau hapo juu.
Mhitimu wa chuo kikuu asijue kusoma na kuandika!? Hilo ni jambo haliwezekani hata kidogo!Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Mbona kuna mmoja alikuwa hajui kutamka,kusoma na wala kuongea kiingereza?Simtaji.ππππMhitimu wa chuo kikuu asijue kusoma na kuandika!? Hilo ni jambo haliwezekani hata kidogo!
Hivi unatambua sifa za mtu kuingia chuo kikuu, na hatimaye kuja kutambulika kuwa amehitimu. Unajua ni mitihani mingapi na mazoezi mangapi huwa anaipitia, na tena kwa vigezo maalum, ili aweze kuvuka kutoka mwaka mmoia wa masomo kwenda mwingine.
Labda useme kama una maana ya kuwa, wana shida kubwa katika suala zima la uandishi, fasihi na sarufi.
Na je mtu akiwa kichaa km wewe na bado anaishi na jamii bila kwenda kutibiwa tufanyeje?Ajira ni ngumu yes
Lakini Kama watu wanagraduate
chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7
TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa
Elimu waliyonayo sio relevant na level zao.
Ukitaka kuamini Tafuta Graduate akuandikie barua uone maajabu.
Naamini Mama Samia upo sahihi kukataa kuwafaulisha wanafunzi waliopata zero na four Japo uliombwa. Ili kupika Data .
Hii nchi inasafari ndefu Kama Maisha ndo haya
Achana na lawama mkuu. Utalaumu mpaka kaburini. Pambana na hali yako. Nani kakuambia Elimu bora inapatikana vyuoni pekee. Ukishajua kusoma na kuandika na kujifunza lugha mbalimbali za kukuwezesha kukusanya maarifa unayoyataka katika dunia hii ya utandawazi. Wewe ni zaidi ya msomi wa chuo kikuu cha bongo mwenye cheti.