Kama Mungu hayupo, binadamu katokea wapi?

How come for a God who cannot defy His nature of all-good, all-just and faultless to be able to create a being that is faultless and then blame for their mistakes?
I think it is we people who invented the idea of God
 

Haa naona umeanza kutukana inaelekea umemaliza kunyw mtori na kisusio
 

Na wewe unayesema Mungu hayupo unaweza kuthibitisha???ha ha Mpumbavu anawaza Moyoni mwake na kusema there is no God!!
 

Huko kushangaa tu the nature and human creation kuna justify yupo mmoja ambaye ni Mungu aliye asili ya vitu vyote!Above all powers!!!
 
Na wewe unayesema Mungu hayupo unaweza kuthibitisha???ha ha Mpumbavu anawaza Moyoni mwake na kusema there is no God!!

Kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo, kwa sababu hakipo.

Mungu hayupo kwa sababu anajipinga yeye mwenyewe kuwepo.

Wewe unayesema yupo, unaweza kuthibitisha kwamba yupo?
 
Kuwepo au kutokuwepo kwa mungu it depend na mungu yupi unayemzungumzia! Tunaishi dunia moja ila kila mtu anaamini anachokijua. Kwa hiyo kutokana na mada yako naweza nkasema mungu yupo ila tumetofautiana hapo kwenye nadharia ya mungu. Ili ujue binadam katokea wap yatupasa tujue ukwel kuhusu mungu. Nawasilisha
 

Na mbona ukimuangalia huyo mungu wako unastaajabu sana lakini unasema hajaumbwa alafu ukijiangalia wewe unastaajabu kidogo tu alafu unasizitisha kuwa umeumbwa?
Vua imani yako tafadhali! 😀

Tuambie chanzo cha huyo mungu wako sasa😀
Maana kitu mwenye akili kama yeye haiwezekani kikatokea kwa babati mbaya.

Mkuu nakukubali sana you have challenged questions....wewe kama sio PHD holder, basi una kaelimu ka psychology, kama nitakuwa wrong basi utakuwa unasoma sana vitabu.

Much appreciate broh.
 
Mkuu nakukubali sana you have challenged questions....wewe kama sio PHD holder, basi una kaelimu ka psychology, kama nitakuwa wrong basi utakuwa unasoma sana vitabu.

Much appreciate broh.

Mkuu nilikuwa nampa challenge tu maana niliona anafikiria upande mmoja tu.
 
Ifike mahali wafia dini mkubali tu kuwa hakuna ushahidi wowote juu ya uwepo wa Mungu bali ni imani tu
 
"kisicho kuwepo hakithibitishiki"

Hii kauli ingeleta maana kama haijulikani ni nini kinachozungumziwa,lakini kwa kitu kinachojulikana huwezi kusema hakipo halafu useme haiwezi kuthibitishika.
Kwa sababu umetumia njia gani kujua kuwa hicho kitu hakipo?

Mfano angetokea mtu na kuanza kukuuliza tu "kipo au hakipo?" ukashindwa kuelewa hicho kitu ni nini basi huwezi kujibu kipo au hakipo kwa sababu hujui hicho kitu ni kitu gani. Kwahiyo unaposema kitu hakipo halafu useme huwezi kuthibitisha basi ukubali kuwa huna uhakika na unachosema hivyo umetumia hisia.
 

Acha siasa basi we mwenye uhakika na unachokisema thibitisha huo uwepo wa huyo Mungu.
 
Acha siasa basi we mwenye uhakika na unachokisema thibitisha huo uwepo wa huyo Mungu.

Dah Jimena upo humu kama nilivyotegea ila u mtata sana ila afadhali hata hivyo.Ukithibitishiwa yupo utamuamini Mungu?
 
Last edited by a moderator:
Dah Jimena upo humu kama nilivyotegea ila u mtata sana ila afadhali hata hivyo.Ukithibitishiwa yupo utamuamini Mungu?

Yes. Nikithibitisha uwepo wake na nikapata majibu ya maswali yangu yote ntamuamini.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…