thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Utofauti wa maarifa ya binadamu kutoka mmoja hadi mwingine kuna uhusiano gani na uwepo wa Mungu?
ndio kwa sababu Mungu pia ndio source of knowledge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utofauti wa maarifa ya binadamu kutoka mmoja hadi mwingine kuna uhusiano gani na uwepo wa Mungu?
ndio kwa sababu Mungu pia ndio source of knowledge.
na kisicho onekana hakithibitishiki!
ndio kwa sababu Mungu pia ndio source of knowledge.
Mungu anahusikaje kwenye knowledge ya binadamu?
Mkuu maswali yako nayakubali sana. Yanaleta changamoto
kinaweza kuwepo lakini hakijaonekena
Tufafanulie vizuri mkuu
unaweza kufafanua ni kivipi???
Kwa sababu kuna materialist wanaodai kwamba ideas zinatokana na material reality swala ambalo haiwezekani.
Kwahiyo jibu hili ni la Bennie 369 au la hao uliowaelezea? Kumbuka swala hili la kutokuwepo Mungu kila mtu ana sababu zake
ok kwani wewe sababu zako ni zipi?
Jibu zuri sana.Kama kila kitu kina chanzo na MUNGU ALITOKEA WAPI?kila kitu kina chanzo chake mkuu. mbona gari halikutokea tu.
Kwa muda mrefu nimekua nikisikia watu wengi wakikanusha uwepo wa Mungu na wakatoa evidence nyingi tu katika ukanushaji huo especially Jamii inteligence.Sasa kwenye hili bandiko mi nataka kufaham kama Mungu hayupo huyu binadamu aliyemuumba ni nani? au kajileta mwenyewe hapa duniani. Unajua hata ukiliona gari barabani yupo aliyeunda gari hilo. Wanasayansi wanaopinga uwepo wa mungu wamejitahidi kueleza sana asili ya dunia na vitu vingine vingi. Naomba izingatiwe kwamba nataka kufahamu asili ya mwanadam sio mungu. ni kweli mungu anaweza akawa hayupo je binadamu wa kwanza alimuumba nani? uje na lengo la kuelimishana. nawasilisha.
Jibu zuri sana.Kama kila kitu kina chanzo na MUNGU ALITOKEA WAPI?
moja uwezo wako wa kupata sababu ni mdogo pili umejuaje anathibitika ?unaomba uthibitisho je utajuaje huo uthibitisho ni wa ukweli au uwongo ilhali huyo unayetaka uthibitishiwe humjui wala humwamini?Kwasababu sijawahi kupata sababu ya kuamini uwepo wake. Hakuna sehemu niliyowahi kupata uthibitisho wa uwepo wake.
Kila nikiomba uthibitisho napewa hadithi tu, labda we utanisaidia kuamini
Kwanza sio wanasayansi wote wanasema mungu hayupo
Wapo wengi tu wanaamini mungu.
Binadamu alitokana evolution process
Hakuubwa kama unavyofikiria.
na sasa anaevolve kuelekea wapi?au mfumo gani wa kiumbile au fikra
moja uwezo wako wa kupata sababu ni mdogo pili umejuaje anathibitika ?unaomba uthibitisho je utajuaje huo uthibitisho ni wa ukweli au uwongo ilhali huyo unayetaka uthibitishiwe humjui wala humwamini?